Iran iko juu ya Israel kijeshi

Iran iko juu ya Israel kijeshi

Assassination ni task tofauti na nguvu za jeshi,watu wakewekeza kwenye assassination kama walivyowekeza Israel hawashindwi kupukutisha hao wateule feki
Assasination inaweza kuonyesha namna vyombo vya usalama vya nchi husika visivyo makini au uwezo mdogo. Haswa kama assanition za mara kwa mara means nchi husika hawajifunzi.

Israel na washirika hawawez kufanikisha mipango yao ka iran ingekuwa iko vizuri kiusalama

Swali rahis, mara ya mwisho lini america imepoteza kiongoz wake kwa assasination? What about russia, what about china?
 
Watu hawana mpango wa assassinations,hiyo ni michezo ya marekani 1960-80s,hawara yake ndiyo kakomalia,yaani kawekeza kweli kweli kwenye assassination
Iran na hiyo tech yao na rasilimali zao wakiwekeza kwenye assassination watakua na efficiency kubwa tu
Lakini kumuua Trump au top military general itasaidia nini kung'oa mfumo?
Ayatollah kafa kachaguliwa mwingine, general huyu kafa kawekwa mwingine..kill the system,ni ujuha kufanya assassinations
 
💯✔️
 
IMG_20260312_170005.jpg
IMG_20260312_170114.jpg

Jeshi ni pamoja na Military Intelligence unit kuwa vizuri, na tuliangalia hilo kwa matokeo on the ground.
 
Watu hawana mpango wa assassinations,hiyo ni michezo ya marekani 1960-80s,hawara yake ndiyo kakomalia,yaani kawekeza kweli kweli kwenye assassination
Iran na hiyo tech yao na rasilimali zao wakiwekeza kwenye assassination watakua na efficiency kubwa tu
Lakini kumuua Trump au top military general itasaidia nini kung'oa mfumo?
Ayatollah kafa kachaguliwa mwingine, general huyu kafa kawekwa mwingine..kill the system,ni ujuha kufanya assassinations

Unadhani assasination ni nini? Yote ni mipango ya kumdhibiti unayemdhani ni adui yako.
Kwa all thats time iran anajua adui yake ni nani halaf hajajiwekeza kujipanga?

Thats is the worst bullshit kabisa.

Watu hawana mipango? Dream on
Us imekuwa kwenye constant war kwa miaka mingapi? Wana maadui wangapi?
Ni nchi ngapi zinatamani but they cant why?
Us wamejipanga and not easy kuwashambulia kijinga.

Nigga pls. Dont overhype ulinz wa iran. Those guys bado sana kuja kushindana na akina US.

Wakubali they are not up there with the giants. Wajipange
 
Assassinations ktk hii vita inayoendelea imeisaidia nini Israel?

Mimi naona ndio mambo yanakwenda kuwa magumu kwa Israel kwa sababu Ayatollah mpya ni m-baya sana kwa Israel
 
Mbona hoja zako za kitoto bro!??
Tena za kitoto sana.
Tukianza na Israel,Israel ipo chini kwa nguvu ya kijeshi na Iran.
Vita za hivi karibuni zimeonesha hilo. Israel haina capability ya kupigana na Iran katika all out war,pia wana lack endurance na resilience.
Kama isingekua Israel kupewa msaada na USA basi asingetoboa hata wiki.

USA mweupe kivita sehemu nyingi tu,ni hivyo teknolojia inamsaidia hususan katika masuala ya anga.
Ila akisimama na nchi ya kibishi hatoboi.
South China sea pale CHINA amemfukuza kama mtoto mdogo kwa kukosa uwezo wa kuzuia hypersonic missile.
-Korean war China amempasua vizuri tu USA Jangsari.
-Somalia 1993 amepasuka na kina Farah Aidid.
-Vietnam amepasuka na North Vietgong vizuri tu na akakimbia vita.
Msimpaishe tena na vita hii ya mwaka huu ndio imemvua nguo kabisa kiuwezo.
Iran tu imeweza kuteketeza kambi zake 27 za kijeshi middle east ambazo zina ulinzi sawa ama walau 90% na kambi zake za USA soil.
Chukulia kama Iran angekua anapiga hypersonic missiles ndani ya US soil hivi USA ingekuaje sasa hivi!??

USA anachotakiwa kushukuru hakuna vita iliyopiganwa katika ardhi yake.
Hayo masuala ya assassination attempts huwezi ukayafananisha na TOTAL OUT WAR ni mambo mawili tofauti.
Ingelikua hivyo basi alipouawa Syed Khamenei basi Iran ingeshateketea.
 
Kaka maandishi mengi huna facts, narudia tena kama iran angekuwa yupo vizuri as you said hapa asingekuwapo leo hapa alipo

Tukienda techniacal terms huend israel akamzidi kwa vifaa, literaly israel na udogo wake wana ndege vita nyingi kuliko hata iran, and that ni airforce . What does iran have? Zaid ya missiles na drones?
Maybe na infantry . Nje ya hapo what else?

Ubora wa jeshi unaoimwa kwa uwezo wa kurepel mashambulizi ya adui. And so far iran defence imefeli.

It doesnt mean hawana uwezo but wamefeli.

Kuachilia mbali wameshindwa kugusa ardhi ya Us. Means hawana jesh lenye uwezo wa kufika us na kushambulia.

Sourh china sea america hajafukuzwa, hajataka ku open war front nyingie as china ana us wanategemeana ki uchumi. So usitarajie direct war betwen china na us .
 
Assassinations ktk hii vita inayoendelea imeisaidia nini Israel?

Mimi naona ndio mambo yanakwenda kuwa magumu kwa Israel kwa sababu Ayatollah mpya ni m-baya sana kwa Israel
Imesaidia israel kwenye eneo ambalo watu hawatazami, ime weaken hezbollah and ime weaken leadership .
Japo kuangusha utawala wa i ra si kazi ya siku moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom