Iran Ataishambulia Israel leo

Kwani Netanyahu yupo ndani ya Israel saa hii!?
Au kunya anye kuku tu?
 
Kama wanaficha vifo mbona hawaishi na ni wachache tu
 
Israel mapema sana alikuwa ameshawahisha makamanda wa makobazi kwenda kula Bikra ila mpaka sasa sijaskia hata mwenyekiti wa mtaa hapo Israel ameumia hata mguu ๐Ÿ˜‚
 
Israel mapema sana alikuwa ameshawahisha makamanda wa makobazi kwenda kula Bikra ila mpaka sasa sijaskia hata mwenyekiti wa mtaa hapo Israel ameumia hata mguu ๐Ÿ˜‚
Vikwazo ,Iran anaogopa vikwazo alivyonavyo vinatosha ...Akiuwa Kiongozi wa Israell atapigwa vikwazo .
 
Jerusalem inapigwa mda huu, Fattahs zaidi ya 2000 ziko njiani
washeni THAAD bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ