Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,813
- 14,420
Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Endelea kutoa updates till the end.Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Iran ataishambulia Iran?Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Endelea kutoa updates till the end.
Hahaha nilikusudia Israel inafaa Moderator wakarekebishe si unajua sina raha mpaa nione vitu vinashuka Tela Aviv, ndio nimekosea kutype.Iran ataishambulia Iran?
Itakuwa ni kiwewe cha mabomu ya Netanyahu…
Hapana hakutuchangan'ya mistake zinatokea.Israel amewachanganya mpaka mnaandika vitu ambavyo havieleweki
Taratibu mzee mwenzangu, usiwe na papara. Mzee Ayatollah ameshasema Mazatuni yatabondwa mpaka yachanganyikiwe.Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Unnaona tena ulicho kiandika hapa?Hapana hakutuchangan'ya mistake zinatokea.
Kaka rekebisha kichwa Cha habari.Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv