Iramba Tuna Bahati Mbaya ya Wabunge

Iramba Tuna Bahati Mbaya ya Wabunge

Moja ya wasomi wengi wa kwanza Tanzania wanyiramba wapo wengi mno ila wamejazana dar kwenye maofis makubwa... Ila hawatak kupambana kuelimisha jamii iliyobaki kijijini
walibweteka,ila sasa wana funguka.na wanasaidia wana iramba wenzao ktk mambo mengi ila elimu,wangewekeza ktk elimu tunge fika mbali
 
anilamba koza apongo iibe,ze mandogwe mishagula ccm du akati ensi,mikikia du
tukikia duh,mbwane we!sasa kama wana iramba hawataki kuchagua upinzani,tuwafanye sasa?ila muda ndio kila kitu,ipo siku mambo yatajipa
 
Wanyiramba ni watu wakarimu sana tu na wenye misimamo thabiti kama wa Pemba wanapotetea haki yao, tatizo lao kubwa walilozaliwa nalo tofauti na waPemba ni kwamba hawawezi kukwepa mtego mdogo sana wa " Nama ne Ntulu/Magae" mnyiramba asilia hata kama ulimuua mtoto wake ukimpa nyama na pombe basi atakusamehe mara mia na mtaanza maisha upya
ahahaha,mkuu we mtani wetu nini?
 
Back
Top Bottom