Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Niko Hapa Tulya Ndani ya Tembe Langu Nikipunga Upepo huku Nikiliangalia Ziwa Kitangiri Kwa Mbali!
Pole na Majukumu ya Uwaziri na Ubunge Wako.
Nimekuandikia Hapa Ili Kuwafikishia Wana Tulya na Iramba Nzima Kero Zetu:
a)Umejisahau sana hata kututembelea umeacha!
b)Hata Diwani Wako Wa Hapa Tulya Haji Uku Kwao Bambaraga,Akija Katani Pale Mesi,Usalimie Makada Wenzie na Kurudi Zake Kiomboi,na Tangu Aupate Udiwani Hajatimiza Hata ya Ahadi Yoyote Ile
c)Umeme Hatuuöni,Kumbuka Uliahidi Kuuvuta Umeme Toka Shelui Mpaka Manyara Kupitia:Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru-Mwanga,ila tunazishukuru juhudi zako 2010-2015,Umeme Ulifika Pale Mgongo,vipi Tulya Tunaupata Lini?
d)Uboreshaji wa Barabara ya Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru!Tunashukuru Barabara Ina Changalawe Kutoka Shelui Mpaka Mgongo,Vipi Vipande Vilivyo Baki?
e)Uraisi Unakufanya Utusahau!Tunajua Una Ndoto za Kugombea Uraisi Come 2025,Lakini Je Ndio Utusahau Hivyo? Je Kura Zetu Hutozitaka 2025?
f)Uwe Makini na Jesica Kishoa,Huyu Mama Alikosa Dola Tu Kukugalagaza 2015 na Ana Sumu Kali Sana,Huwezi Sehemu Zote Alizopita Ulishinda Kimtandao,Labda Kidogo Kule Ambako Hakupita Kwa Sababu ya Kunyonyesha!Uwe Makini Huyu ni Mfupi Kikimo ila Ni Giant wa Hoja!Mbaya Zaidi CHADEMA kwa Kujua Hivyo Wakampa Ubunge:Apate Jukwaa la Kukuvagaa na Pia Apate Uhuru wa Kutamba Iramba Nzima
g)Njoo Uwabane Madiwani Badala ya Kuwaacha Wakilipulipua Mambo kwa Elimu za Kuunga Unga
h)Kama Una Mpango wa Kurudi Iramba na Bungeni 2020 Kama Mbunge Rudi Tuijenge Iramba,
i)Bungeni Mbona Hututetei?Upo Kimya,Vipi?
j)Usidanganyike na Upepo wa Magufuli na Katazo la Majaliwa Kuwabania Upinzani Kufanya Mikutano,Wana Nöndo za Mapungufu yako na Bosi,Siku Wakipata Upenyo Wakanena Sijui Mtaji wako Wakisiasa Utabaki na Shs Ngapi?Omba Pia Bunge Lisiwe Tu Live Lizimwe Kabisa!Yule Kishoa Atakufunika!
Niishie hapa,karibu tunywe magae makanta Madelu uku tukisubiria nyama ya punda ikichomwa!