Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 302
- 295
Mshafuta majina yake kwenye mawe nchi nzima?Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabala JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe. Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake. Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Kweli eee?Sasa mkimkataa jimboni si ndio mnamfanya aongeze nguvu kwenye "urahisi"
Ishaanza!Mwigulu ameanza kampeni zakugombea urahis 2025,nawahakikishia ndani ya ccm vita inaanza wenyewe kwa wenyewe
Alishawahi kumtoa mtu roho wakati ule wanagomba na Prof. Kitila Mkumbo!Kwa hulka aliyoonyesha Mwigulu hivi karibuni..ni aina ya mtu ambae atakuwa tayari hata kupoteza maisha ya mtu yoyote ambae atakuwa kikwazo kwake ili awe Kiongozi...huyu hafai hata kidogo.
Bora awe tu lakini sio jimboni! Miaka 15 inamtosha, 20 ataifanya Iramba ishike mkia kwa kila jambo!Sasa mkimkataa jimboni si ndio mnamfanya aongeze nguvu kwenye "urahisi"
Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!

Asipewe hata huo ubapozi.akae pembeni kabisa.Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Na ukizingatia ameshachemka suala la kodi za miamala, kishaminywa ko..dani!Mwigulu mnamtajataja na kumuongezea umaarufu bure tu, hana uwezo huo mnaompa hapa, ni mtu anayetegemea huruma ya Rais aliyepo madarakani kwa wakati husika, zaidi ya hapo hamna kitu. Wanasiasa wanamkakati na wakuogopewa kwa mikakati yao walikuwa ni Kikwete, Lowassa na Rostam, sidhani kama watakuja kutokea wanasiasa kama hao siku za karibuni. Hawa wengine wote wanaishi kwa huruma za Mkiti, Samia akiamua kumpoteza huyo Mwigulu kwenye siasa ni jambo la saa moja tu. Wapo wapi Bashite, Polepole na Bashiru leo hii?
Madiwani wote amewaweka wa kwake. Hata Mwenyekiti wa Halmshauri ni wa kijijini kwake wakati ni Form 4 failure kabisa!Asipewe hata huo ubapozi.akae pembeni kabisa.
Huko Iramba tafuteni diwani mzuri mwenye hoja ambae mnaishi nae hukohuko,Mwigulu atakuja kuwauza
Ukiona Bavicha hawamtaki mtu ujue huyo ni mtu sahihiHuyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Iramba hatunaga hata BAVICHA, wote ni wa CCM na hatumtaki kweli!Ukiona Bavicha hawamtaki mtu ujue huyo ni mtu sahihi