hatumtaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hatumtaki Rio Ferdinand. Amelishwa maneno mengi kuhusu Simba. Kwa haya anayosema tutaonana wabaya

    Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje? Ni upuuzi hata kumwonesha goal la Chama. Kwani Ligi hii limefungwa goal moja tu? Serikali. Iangalie jambo hili tusije...
  2. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mwanasiasa ambaye hatumtaki ang'ang'anie kutuongoza?

    Salaam ? Nianze kwakusema kuwa nilikuwepo kipindi cha uongozi wa mkapa, kikwete na baadaye Magufuli. Viongozi wote Hawa tumewahi wabeza, tukawasema na kuwasema lakini hatukuwahi wakataa. Ni jambo la kustaabisha kwamba mnamkataa mtu lakini anatumia mabav makubwa kubaki kuwaongoza, najiuliza...
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

    Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr. Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba: Hata Mo hatumtaki. Alimpa nani hela (bil. 3) ya usajili?

    Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa. Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga hatumtaki tena Manara. Ali Kamwe na Privaldinho wanatosha

    Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana. Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia hatumtaki tena Yanga. Manara anagombana na kila mtu. Kagombana na Shafii, Kitenge, Jemedari Said...
  7. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

    ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣. Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu. Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa karibu na Feisal wakasemezana na kushirikiana na dada zao Azam Fc "Inabidi tuwachanganye Yanga...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

    Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025. Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
Back
Top Bottom