IQ ya Marais wetu

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Kwa anayejua IQ za marais wetu tangu mwanzo kuanzia Nyerere atujuze hapa jamvini. Nafanya tafiti ili kubaini ikiwa tunavyofikiri kuhusu umuhimu wa IQ ni kweli una-reflect kwenye utendaji na ubunifu wa kazi.
 
mh!! IQ TEST SI ANAFANYA MWENYEWE CDHANI KAMA WATU WA NJE WANAWEZA KUWA NA DATA HIZO MUHIMU! PIA IQ INABADILIKA KUTOKANA NA CKU! MAANA UNAVYO PIMA IQ TEST SPEED N ACCURACY KWA AJILI YA KUTAKLE TATIZO
 
Nadhani wote walikua na IQ ndogo chini ya 60% kwa sababu mazingira waliokulia yalikuwa ni duni.kwa upande wa mkwere tatizo la IQ ndogo limeonekana kuleta athari kwa sababu ameongoza kipindi chenye mabadaliko makubwa ya teknolojia.
 
mada zingine bwana, yaani unadhani kuna mtu anayeweza kujitangaza IQ yake ni kiasi fulani?
wanaojitangaza ni wale walio na IQ ya juu sana, lakini vilaza kama viongozi wenu hawawezi hata siku moja.
ukiwajua utawatunukia PhD?
 
Kwa anayejua IQ za marais wetu tangu mwanzo kuanzia Nyerere atujuze hapa jamvini. Nafanya tafiti ili kubaini ikiwa tunavyofikiri kuhusu umuhimu wa IQ ni kweli una-reflect kwenye utendaji na ubunifu wa kazi.

Wewe ya kwako ngapi hata ukasema wenzako zao ndogo? Wacheni dharau na kujiona nyinyi ni wajuaji na wenye akili. Hao ni sawa na wazee wenu musisahau hilo.
 
Nyerere 130
Mwinyi 60
Mkapa 110
Kikwete 50

Out of 160

Huu ni mtazam wangu kwa kuzingatia uwezo wao wa kuchanganua mambo pamoja na kusikiliza hotuba zao...
 
Unaweza kuwapima mwenyewe kulingana na utendaji wao kuelekea malengo waliyokuwa wamejiwekea:

(1) Nyerere:

Lengo: Kujenga taifa kwa mfumo wa ujamaa na kujitegemea.

Utendaji: Aanzisha vijiji vya ujamaa, anzisha elimu ya kujitegemea, anzisha viwanda vya ndani vingi kuelekea lengo la kujitegemea.........

(2) Mwinyi:

Lengo: Kujenga taifa lenye kujali uwajibikaji (Accountability)

Utendaji: Kila kitu ni ruksa, hata kule kuvunja sheria ni ruksa mradi tu usishikwe............

(3) Mkapa:

Lengo:
Kujenga taifa la uwazi na ukweli

Utendaji: Uza kila kitu cha umma kwa siri kali sana, anzisha biashara za kisirisiri ikulu, mambo yote yenye kugusa msalahi ya wanachi yaamuliwe kisirisiri na kutekelezwa kwa nguvu hasa pale ambapo maswahiba wa karibu wanafaidi, ...............................

(4) Kikwete

Lengo: Kujenga Taifa Lenye Ari Mpya na Nguvu Mpya, na kuahkikisha masiha bora kwa kila mtanzania.

Utendaji: Kutembea dunia nazima kujitambulisha, na kuacha nchi haina mwelekeo. Kuwaacha mafisadi wachukue nchi na kujifanyia watakavyo. Kugawa wananchi kwa msingi wa dini ili kubaki madarakani...............
 
Nadhani Akili yako na ufahamu wako ni kama kichuguu ambacho kimechimbwa mashimo kibao na mchwa.
nawewe akili yako imeliwa na virusi kiasi kwamba yote unayoyafikiria kuhusu maraisi wako ni mabaya tu.
Yaani hivyo virusi vimekula sehemu yako ya ubongo inayohusika na utumiaji wa busara katika kutafakari mambo.
Kama huamini nenda kawaone wataalamu wa magonjwa ya ubongo(nurosurgeons) wakufanyie kipimo cha ubongo, ni dhahiri utakuta makovu matupu.
Pole kichuguu, kama jina lako lilivyo
 
Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu:

NYERERE : IQ ndogo kabisa kuliko wote. Aliingiza nchi katika matatizo ambayo yameigharimu na yataendelea kuigharimu nchi kwa muda mrefu, kutokana na IQ yake ndogo.
MKAPA: Baaada ya MWINYI kurekebisha kwa kiasi kikubwa matatizo aliyoyaacha Nyerere, huyu bwana alikuja kuharibu kila kitu, ikiwa ni pamoja na kufanya ufisadi wa hali ya juu, yeye na baadhi ya mawaziri wake, ambao umeleta hasara kubwa sana kwa Taifa letu.Sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na kuwa na IQ ndogo, ambayo haikumwezesha kumudu madaraka ya Urais
MWINYI: Kutokana na IQ yake kubwa, aliweza kufufua uchumi na kuleta mageuzi makubwa ya kuichumi, na kuwatoa wananchi katika janga la umasikini alilotuachia Myerere. Siwezi sahahu alivyotuondolea adha ya kununa sukari kwa kaya, kilo moja mara moja kwa mwezi, tena kwa foleni, na lazima uwe na kibali toka kwa mkuu wa wilaya au wa mkoa.nafahamu wengi wenu mlikuwa wadogo sana, au hamjazaliwa.
Mifano ya mageuzi aliyoleta ipo mingi sana, na yote hayo yaliwezekana kwa sababu ya IQ kubwa.
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
 
Naunga mkono! Ni General view ila imemulika papana!
 
Thanks
 
Ninawasiwasi na ELIMU YAKO WEWE ULIYEANDIKA HIYO COMMENT!!!!!!!! Inawezekana wewe mwenyewe ukawa na IQ ndogo kuliko wanaJF wote....... JICHUNGUZE KWANZA..

Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu:

NYERERE : IQ ndogo kabisa kuliko wote. Aliingiza nchi katika matatizo ambayo yameigharimu na yataendelea kuigharimu nchi kwa muda mrefu, kutokana na IQ yake ndogo.
MKAPA: Baaada ya MWINYI kurekebisha kwa kiasi kikubwa matatizo aliyoyaacha Nyerere, huyu bwana alikuja kuharibu kila kitu, ikiwa ni pamoja na kufanya ufisadi wa hali ya juu, yeye na baadhi ya mawaziri wake, ambao umeleta hasara kubwa sana kwa Taifa letu.Sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na kuwa na IQ ndogo, ambayo haikumwezesha kumudu madaraka ya Urais
MWINYI: Kutokana na IQ yake kubwa, aliweza kufufua uchumi na kuleta mageuzi makubwa ya kuichumi, na kuwatoa wananchi katika janga la umasikini alilotuachia Myerere. Siwezi sahahu alivyotuondolea adha ya kununa sukari kwa kaya, kilo moja mara moja kwa mwezi, tena kwa foleni, na lazima uwe na kibali toka kwa mkuu wa wilaya au wa mkoa.nafahamu wengi wenu mlikuwa wadogo sana, au hamjazaliwa.
Mifano ya mageuzi aliyoleta ipo mingi sana, na yote hayo yaliwezekana kwa sababu ya IQ kubwa.
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
 
Nadhani Akili yako na ufahamu wako ni kama kichuguu ambacho kimechimbwa mashimo kibao na mchwa.
nawewe akili yako imeliwa na virusi kiasi kwamba yote unayoyafikiria kuhusu maraisi wako ni mabaya tu.
Yaani hivyo virusi vimekula sehemu yako ya ubongo inayohusika na utumiaji wa busara katika kutafakari mambo.
Kama huamini nenda kawaone wataalamu wa magonjwa ya ubongo(nurosurgeons) wakufanyie kipimo cha ubongo, ni dhahiri utakuta makovu matupu.
Pole kichuguu, kama jina lako lilivyo

Maneno yako ni sawa kabisa na yale yaliyoandikwa na UVCCM

Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu
:..............
...............
...............
...............
...............
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.

IQ ni kipimo kidogo sana katika uongozi; na huwezi kupima uwezo au ufanisi wa kiongozi kwa kuangalia matokeo tu bila kuangalia malengo. Kiongozi anaweza kupata matokea mazuri kwa bahati bahati bila kuyategemea, na vile vile kiongozi anaweza kupata matokeo mabaya kwa bahati mbaya wakati malengo yake yalikuwa yanaashiria mazuri. Kuna parameters nyingi sana kuhusiana na uongozi wa kisisasa.

Kuhusu Kikwete kuacha watu wajadili hapa JF bila kukamwatwa siyo kweli kwa sababu tunajua kuwa kuna wenzetu hapa JF waliwahi kuwekwa ndani, na vile vile tunajua kuwa Zeutamu ilifungwa kutokana na amri ya Kikwete. Viongozi wa kibantu siyo wavumilivu kukosolewa: Mwinyi aliwahi kufunga UDSM kwa mwaka mzima kwa sababu wanafunzi walimkososa, Mkapa aliuwa watu huko Pemba na mwembechai kwa vile walikosoa utendaji wake, Nyerere nay alikosana na baadhi ya maswahiba wake kisiasa kwa vile walimkosoa
 
Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu:

NYERERE : IQ ndogo kabisa kuliko wote. Aliingiza nchi katika matatizo ambayo yameigharimu na yataendelea kuigharimu nchi kwa muda mrefu, kutokana na IQ yake ndogo.
MKAPA: Baaada ya MWINYI kurekebisha kwa kiasi kikubwa matatizo aliyoyaacha Nyerere, huyu bwana alikuja kuharibu kila kitu, ikiwa ni pamoja na kufanya ufisadi wa hali ya juu, yeye na baadhi ya mawaziri wake, ambao umeleta hasara kubwa sana kwa Taifa letu.Sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na kuwa na IQ ndogo, ambayo haikumwezesha kumudu madaraka ya Urais
MWINYI: Kutokana na IQ yake kubwa, aliweza kufufua uchumi na kuleta mageuzi makubwa ya kuichumi, na kuwatoa wananchi katika janga la umasikini alilotuachia Myerere. Siwezi sahahu alivyotuondolea adha ya kununa sukari kwa kaya, kilo moja mara moja kwa mwezi, tena kwa foleni, na lazima uwe na kibali toka kwa mkuu wa wilaya au wa mkoa.nafahamu wengi wenu mlikuwa wadogo sana, au hamjazaliwa.
Mifano ya mageuzi aliyoleta ipo mingi sana, na yote hayo yaliwezekana kwa sababu ya IQ kubwa.
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
Unadhani Kikwete hafahamu kwamba unamkejeli? Tumfananishe Kikwete na Nyerere aliyebuni na kusimamia sera za ujamaa na kujitegemea ambapo watanzania walipata matibabu na elimu bure na kuna wakati rushwa ilienda likizo? Huyu kila kitu kimemshinda kuanzia mapambano dhidi ya Rushwa hadi umeme. Ukweli nikwamba kati yao hakuna hata mmoja wa kumfananisha na Nyerere.
 
Yaani wewe hadi leo hufahamu historia ya nchi yako? Nyerere wakati alipokabidhiwa nchi na mkoroni ilikuwa katika hali nzuri sana kiuchumi ukilinganisha na alivyokujakuiacha miaka 23 baadae.Kutokana na Akili zake finyu alidhani ujamaa ndo ungekuwa ufunmbuzi wa matatizo ya kiuchumi aliyoyasababisha mwenyewe.Kwa bahati mbaya sana hakuweza kuelewa kwamba tatizo alikuwa ni yeye na udikteta wake, na hii ilichangiwa na IQ ndogo aliyokuwa nayo.
Kusema kwamba alisimamia sera za ujamaa na kujitegemea, ni sawa na kumuunga mkono mtu anayeamua kuwatetea watu waliojenga kwenye bonde la mto uliokauka wakati wa kiangazi, wakati akijua kabisa kwamba masika ikifika nyumba zao zitaharibiwa na maji kama siyo wao kupoteza maisha yao. Si sahii kumsifia mtu wa aina hii kwa sababu uwezo wake wa kuona mbali na finyu mno, na hivyo ndivyo alivyokuwa nyerere.
 
Nyerere
Lengo: Kujenga taifa kwa mfumo wa ujamaa na kujitegemea
Alihujumiwa uchumi wa nchi baada ya kuwaamini sana majirani zake wengi kutoka Kenya,akiambiwa huyu si mtanzania yeye alisema tu kama ni mwaafrica haina shida mpe kazi,kwa hiyo nchi ikatekwa na wajanja wengi kutoka Kenya,hata Raila Odinga passport yake ya kwenda nje kusoma aliipata Tz

Kwa hiyo Nyerere aliweka sana Uafrica akaacha utanzania,ndiyo maana umasikini bado upo

Mwinyi
Lengo: Kujenga taifa lenye kujali uwajibikaji (Accountability)

Utendaji: Kila kitu ni ruksa, hata kule kuvunja sheria ni ruksa mradi tu usishikwe...........
Tatizo lake aliamini sana Waislam baada ya kuruhusi biashara kwa hiyo waarabu wakahujumi uchumi kwa kuingiza bidhaa nyingi kwa kizingizio watalipa kodi pindi wakiuza lakini wakimaliza wanasema Mzee watu bado uza,na mali ingine nyanganywa iko lipa tukirudi tena Mwinyi anasema Ishallal Mwenyezi Mungu atakujalia urudi salama wakati huo wahindi wanarudi na bidhaa nyingi kutoka TZ na hawalipii ushuru pia mfano mahindi ,karafuu,dhahabu na vingine
Kwa hiyo viwanda vikazidi kuporomoka, serikali ikawa haina hela na umasikini ukaongezeka zaidi lakini wale wajanja waliotumia nafasi hiyo ya kila kitu free wakabaki na utajiri wao mpaka leo na ndiyo maana wanazidi kumpongeza mwinyi ni kumpa jina Mzee Ruksa

Benjamini
Lengo: Kujenga taifa la uwazi na ukweli
Huyu ni mtu makini sana na alijitahidi sana kuinua uchumi wa nchi ila tatizo lilikuja baada ya kurudiana na Anna Mkapa,huyu Anna alimshauri Mkapa kuteua watu wake wa karibu kwa maslahi yake na ndugu zake Mfano alimshauri amchague Mramba na wengine wengi kwenye secta za serikali ambao wamehujumu nchi kwa kiasi kikubwa mno.Hata kashfa nyingi alizonazo Mkapa ni kwa ajili ya huyu Anna
Mkapa aliinua uchumi na wasomi walitambuliwa vizuri na kulipwa vizuri ,na hata miundo mbinu nyingi alirekebisha na aliwabadili watanzania kujua umuhimu wa shule

Kikwete
Huyu amekuja kwa kazi mpya na ari mpya
Kimwonekano anaonekana mchapakazi ila kiundani anaonyesha mambo mengi ya serikali wapo wajanja ambao wanamshauri ambao hawa washauri wake kwake yeye anawaamini ila kwa nje inaonekana watampeleka pabaya na hata kuiuwa CCM kama hatabadilisha washauri wake
Bado tunaendelea kumwangalia na zaidi kwa kipindi hiki ambacho kuna mambo mengi ambayo azipoangalia katika kutoa maamuzi magumu ataligarimu taifa na serikali kwa ujunla mfano Dowan,RITE,garama za umeme,kuweka sawa mawaziri wake,swala la Arusha na changamoto za taifa
 
Back
Top Bottom