IQ Measure for Intelligence

Wazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
Mazingira sawa ki-vipi? kwanini sisi waafrika tusiweke sawa mazingira yetu, hatuna mazingira ambayo unataka kuyaita sawa kwasababu hatuna uwezo, yaani mazingira akutengenezee yeye halafu uyatumie kumzidi kwa kukariri darasani halafu ujisifu kuwa una akili kuliko yeye, kwani tusitengeneze sisi hayo mazingira ya ushindi tangu utotoni thats funny... wamejitengenezea hayo mazingira kitu ambacho sisi kimetushinda.
Gari watengeneze wao halafu sisi tujisifu kuwa tunajua kulikimbiza?
 
musembi hiyo avatar yako imenikumbusha mbali sana,
mazingira tutangenezaje wakati tuna viongozi ambao watoto wao ni agemate zetu lakini mbona wapo kama sisi??
kama mazingira yanatokana na uwezo wa wazazi sijui kama tutafika,
sana sana wao ni wizi mtindo mmoja,nafikiri system hii itapita bila mwafrica kukombolewa kiakili
 
Mfano wa mazingira duni ya bongo:

- Bongo msosi wa shida wakati wenzetu nchi zilizoendelea wana chakula bora, kumbuka lishe bora ni muhimu katika makuzi na ukomavu wa akili ya mtoto.
- Mtoto huyu wa kibongo ambae yupo lege lege kwa lishe duni akianza darasa la kwanza unakuta wako wanafunzi zaidi ya mia moja darasani au (chini ya mti/ banda la nyasi) wakati mwalimu ni mmoja, hivyo katika early stages za masomo wanapoteza mwelekeo. Wenzetu developed countries unakuta watoto 20 ndani ya darasa na wana facilities zote kiasi kwamba uwezo wao wa kufikiri unaongezeka ukilinganisha na wenzao wa nchi maskini kama TZ.
Kwa nchi hii ambayo hujui kesho unakula nini, IQ test kwetu ni nonsense.
 
Halafu tunajifariji eti tuna akili zaidi ya wazungu, hii kauli huwa inanikera sana, akili gani ambazo hazitusaidii chochote katika kupambana na kuyapambanua mazingira yatuzungukayo ili yawe borana adilifu?
Haya basi tufanye kuwa tuna akili kuliko wao, mbona wenye akili ndogo wameitumia ipasavyo katika kujirahisishia maisha wakati sisi eti wenye miakili mingi bado tunasota na kuwaomba msaada wao watukwamue, kama hayo ndiyo matunda ya akili ni heri nisiwe na akili au niwe nazo kidogo kama za hao wazungu.
 
Hapa raia wema inabidi tujue kuwa wazungu wapo katika Advanced stage of selfishness...hii stage ndio zao la ubepari ulio komaa...sasa sisi ndo kwanza hata harufu ya ujamaa haijapotea hivyo ufisadi nizao la mabadiliko haya ya ujamaa 2 ubepari...utakapo komaa hawa ndo wataanza kufikiria faida ya taifa na sio matumbo yao...Naamini waafrica tuna IQ inayotutosheleza bt hawa jamaa zetu wamesha tutangulia ..now wanatuangalia tu kwa side mirror ili tucwa overtake...kaz tunayo!
 
Mfano wa mazingira duni ya bongo:

- Bongo msosi wa shida wakati wenzetu nchi zilizoendelea wana chakula bora, kumbuka lishe bora ni muhimu katika makuzi na ukomavu wa akili ya mtoto.
- Mtoto huyu wa kibongo ambae yupo lege lege kwa lishe duni akianza darasa la kwanza unakuta wako wanafunzi zaidi ya mia moja darasani au (chini ya mti/ banda la nyasi) wakati mwalimu ni mmoja, hivyo katika early stages za masomo wanapoteza mwelekeo. Wenzetu developed countries unakuta watoto 20 ndani ya darasa na wana facilities zote kiasi kwamba uwezo wao wa kufikiri unaongezeka ukilinganisha na wenzao wa nchi maskini kama TZ.
Kwa nchi hii ambayo hujui kesho unakula nini, IQ test kwetu ni nonsense.

Kama huu ndiyo mtazamo,basi ni kweli sisi waafrika IQ yetu ipo chini sana. Kama Leornado nae ni mwafrika ha hapa amaetumia IQ yake Kaaazi kweli kweli...shida inatakiwa iwe chachu ya maendeleo, Fikiri sana kwa kuangalia shida uliyonayo,lenga kuindoa,endelea kufikri namna ya kuiondoa,then shida utaiweza. Tatizo kubwa linalotukabili sisi waafrika ni uvivu wa kufikiri.
 
labda kuna uwezo masomo na uwezo wa kufikiri

Intelligence ... Kwa kiswahili rahisi ni WEREVU!

Ni kweli wataalamu wengi wa sikuhizi wanakubalina kuna namna mbili tofauti za kutambua Werevu wa mwanadamu

1. Werevu wa viwango vya KIAKILI ..IQ

2. Werevu wa viwango Vya KIUTU ... EQ (Emotional Quotient) au wengine wanaita EI (Emotional intelligence)

Kuweza kupata WEREVU wa Kweli Wa Mtu lazima kuchangaya werevu wa Kiakili na ule wa Kiutu.

Werevu wa kiakili ni ule unaofanana na werevu wa komputa lakini ndani ya akili ya mtu... lakini huu haumpi mtu uwezo wa kiutu ambao ni uwezo wa kuwa na kutumia ..ubinaadamu, upendo, uwajibikaji, nidhamu ya maisha ,kutukuwa na ubinafsi, unyeyekevu wenye ujasiri, uzalendo, ushujaa, kujitoa muhanga, kuwa na ustaarabu na thamani zote za Utu wa mtu usiopatikana kwa wanyama au mashine.

Mtu anaweza kuwa na sifa kubwa sana za kiakili kama profesa hivi lakini akawa hana utu na sifa zake zote ...Huyu si mwerevu hata kidogo... werevu kamili ni kuerevuka KIAKILI na KIUTU!

Viogozi wetu wengi bure kabisa....wamepiga shule kaama kawa ...IQ zao safi Utu ..Lakini EQ ..sifuri kabisa ..wabinafsi, hawana utu, hawana upendo wa nchi yao nk.
 
Nakubaliana na hii!!
 
My take...

This is something that I frequently ponder and always perplexed me; tunajua kuna waafrika wengi wana akili sana tuu (kuna jamaa akiitwa “so much simple” pale Tambaza…we acha tuu). Lakini we always fail to translate that into tangible solution in our lives. Mimi nafikiri tatizo letu kubwa liko kwenye kile nitakacho kiita "social intelligence". "Social intelligence" na maanisha vile how a society use their "know-how" to solve problems and find efficiencies to advance their communities. Sisi hatuna hiyo (labda tumeipoteza)...we don't act for the well-being of the community. THIS MAKES THE INDIVIDUAL INTELIGENCE NOT A CONTRIBUTING FACTOR IN THE DEVELOPMENTOF A SOCIETY AS AWHOLE. Mtu ukiwa na kipaji basi jamii ina kukandamiza badala kukuhamasisha na kukuendeleza!

Asians (Koreans and Japanese in particular) on the other hand, community obligation is central to their culture. To sacrifice for ones community is highly regarded act to them. Read about the Kamikazes of Japan to understand one’s sacrifice for community. In case you didn’t know; all major Japanese companies (Sony, Mitsubishi, Fujitsu, Toshiba, etc) have an allegiance to corporate for the sake of the Japan. Read about it you will know. The Chinese have a strategic drive to export goods and labor to the world…Leaders in Korea do commit suicide when they have failed their society.

Ni hii culture aspect ya intelligence that sisi hatuna au tumeipoteze. Wewe angalia wabongo ambao wako majuu kwenye very senior position. Sasa mbongo huyo umlete nyumbani na kumpa ukurugenzi kisha umpe mwaka.... Kwanza, atajihidi kuweka mambo sawa kama ipasavyo lakini society itambiga vita weee mpaka either ataachia ngazi na kurudi zake majuu (mtoni, ng'aambo, unyamwezini, mtini, n.k) au ataamua naye kula nao kiufisadi....na kunufaisha tumbo lake kama wenzake.

Fikiria......
 
ʞontɹact Sniper;2264637 said:
Halafu tunajifariji eti tuna akili zaidi ya wazungu, hii kauli huwa inanikera sana, akili gani ambazo hazitusaidii chochote katika kupambana na kuyapambanua mazingira yatuzungukayo ili yawe borana adilifu?
Haya basi tufanye kuwa tuna akili kuliko wao, mbona wenye akili ndogo wameitumia ipasavyo katika kujirahisishia maisha wakati sisi eti wenye miakili mingi bado tunasota na kuwaomba msaada wao watukwamue, kama hayo ndiyo matunda ya akili ni heri nisiwe na akili au niwe nazo kidogo kama za hao wazungu.

Kaka naungana na wewe kuwa sisi hamna lolote kwani hayo mazingira mazuri si wameyatengeneza wao angalia vi2 vyote tulivyoachiwa kama reli ya kati,Mashule ya kiseminary vyote vimezeeka baada ya wao kuondoka
 
My take...

This is something that I frequently ponder and always perplexed me; tunajua kuna waafrika wengi wana akili sana tuu (kuna jamaa akiitwa "so much simple" pale Tambaza…we acha tuu). Lakini we always fail to translate that into tangible solution in our lives. Mimi nafikiri tatizo letu kubwa liko kwenye kile nitakacho kiita "social intelligence". "Social intelligence" na maanisha vile how a society use their "know-how" to solve problems and find efficiencies to advance their communities. Sisi hatuna hiyo (labda tumeipoteza)...we don't act for the well-being of the community. THIS MAKES THE INDIVIDUAL INTELIGENCE NOT A CONTRIBUTING FACTOR IN THE DEVELOPMENTOF A SOCIETY AS AWHOLE. Mtu ukiwa na kipaji basi jamii ina kukandamiza badala kukuhamasisha na kukuendeleza!

Asians (Koreans and Japanese in particular) on the other hand, community obligation is central to their culture. To sacrifice for ones community is highly regarded act to them. Read about the Kamikazes of Japan to understand one's sacrifice for community. In case you didn't know; all major Japanese companies (Sony, Mitsubishi, Fujitsu, Toshiba, etc) have an allegiance to corporate for the sake of the Japan. Read about it you will know. The Chinese have a strategic drive to export goods and labor to the world…Leaders in Korea do commit suicide when they have failed their society.

Ni hii culture aspect ya intelligence that sisi hatuna au tumeipoteze. Wewe angalia wabongo ambao wako majuu kwenye very senior position. Sasa mbongo huyo umlete nyumbani na kumpa ukurugenzi kisha umpe mwaka.... Kwanza, atajihidi kuweka mambo sawa kama ipasavyo lakini society itambiga vita weee mpaka either ataachia ngazi na kurudi zake majuu (mtoni, ng'aambo, unyamwezini, mtini, n.k) au ataamua naye kula nao kiufisadi....na kunufaisha tumbo lake kama wenzake.

Fikiria......

Nimefikiria!! Lol

Its objective*observation and We have a lot to learn and change... I think the problem of social intelligence ...*directly*comes from the Individual/ emotional intelligence ... social intelligence ... Uzalendo? ... Utaifa?
 
You have a point there.
I guess I was just thinking in terms of a kind of "social conscious" which manifest only in a social setting as to oppose to
something that is intrinsic to an individual. Kama vile kile wanachokiita "emergent property" which a system produces due to its complexity
and that which is never present if you look at the individual parts that makes up the system. A good example is our consciousness; if you look at the firing of one neuron you will hardly see consciousness there. But putting a billion of them and you have an emergent property of "being conscious".

An emergent property is the presence of color; a particular atom exhibit a specific characteristic color, but the individual sub-atomic parts that makes the atom do not have color as they do not emit or absorb light bands to produce this effect. Well, I am getting a little of topic here, but I guess you got me thinking...

I think this assumed "Social intelligence" is culture based...and our [culture] is not helping as in this respect.
What do you think?
 
Kaka naungana na wewe kuwa sisi hamna lolote kwani hayo mazingira mazuri si wameyatengeneza wao angalia vi2 vyote tulivyoachiwa kama reli ya kati,Mashule ya kiseminary vyote vimezeeka baada ya wao kuondoka

akili zetu zimelala na zinaitajiwa kuamshwa
 
I like this topic and i like more the comments of 'great thinkers'
- i dislike the connection with college names (our famous topic)

The dicsussion also reminds me of one of my favorite movies by Eddie Murphy - TRADING PLACES

I f you can watch it and see if you come up with a different perspective on the topic
 
IQ ni uhuni wa wazungu achana nayo, waafrica wengi wana akili zaidi ya wazungu...huo ni ukweli hata mkiingia darasa na mzungu atakimbia mwenyewe. siyo kwamba hawapendi kuja kusoma UDSM au SUA wakija milecturer yetu inakula vichwa mapema sana wanaishia kudai wao foreigners na wakubwa kwa kuogopa kunyimwa misaada wanawa pasisha. Try to ask any physician even psychiatrician....they will tell you IQ is Crap..bullshit
Labda IQ za kuteka watu wanaokosoa serikali!
Kama tuna IQ kubwa nini tumefanya cha maana ktk bara la Africa kwa kujitegemea?
 
Wazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
Nini cha maana kinachokufanya ujione tuna IQ kubwa?
Kukaririshwa darasani ukaishia hapo huo sio uelewa hata chizi akijua ilipo dampo hujipeleka kila Mara kwa sababu ya kukariri eneo hii haimanishi kuwa ana uelewa mkubwa
 
ndivyo mnavyojidanganya?eti mna akili?si mngeacha kutembeza bakuli basi kwa hao mnaowabeza kama na nyie zimo?mna akili halafu mnaenda kuficha hela uswisi huku wenzenu wanakufa kwa njaa na malaria?eti mna akili nyie?mnatembelea magari ya kifahari ya mamilioni huku hamna umeme,hamna vitanda hospitali,hamna maji,eti mna akili nyie?vyuo vinavyotumia vitabu vilivyoandikwa na haohao wazungu mnaowabeza,eti vina akili?vimekalia politiki badala ya tafiti,eti vina akili?mweee!
Hatuna akili bila kumung'unya maneno labda akili za kuteka walala hoi wanaokosoa serikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom