IQ Measure for Intelligence | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IQ Measure for Intelligence

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by rosemarie, Jun 29, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  African
  Congo (Zaire) – 66------------ ;Congo (Brazzaville) - 73;
  Ethiopia – 67---------; Ghana – 62; ------------Nigeria – 69;
  Sierra Leone 67----------; South Africa – 72;
  Sudan – 72; ----------Tanzania – 74;
  Uganda – 73;------------ Zambia – 75
  ; Zimbabwe – 70-------------- and Egypt – 83.

  In comparison IQ for more developed countries is:
  Thailand – 91;-------------- Japan - 110;
  China – 98; -----------------------Malaysia – 92;
  South Korea – 106; ------------------Singapore – 103;
  Cuba – 85; -----------------India – 82;
  Israel – 90; ------------Mexico – 88;
  Philippines – 86.

  The IQ mainly for whites is:
  Australia – 99;------------ Belgium – 99
  ;Canada – 97--------------;Czech Republic – 99;
  Germany – 103---------------;Ireland – 87
  ; France – 97;---------------- Finland – 98;
  Italy – 103;----------------- Netherlands – 100;
  New Zealand –----------------- 101;Poland – 92
  ;Romania –94;-------------------- Spain – 96;
  Switzerland – 101---------------; U.K. – 100;
  and U.S. – 98.

  Oh Africa! Some people say that you ought to be reconquered afresh by the white man, partly because you have failed. It is said that your leaders and their governance amount to a total disaster that is steadily worsening! It is argued that if there is anything left in you that is still working, it was built by the colonialists and is still being serviced by them behind the scenes. This is because you have a low Intelligent Quotient (IQ)!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Rose IQ kubwa zaidi ni ngapi na ndogo zaidi ni ngapi?
  Naona africa tupo btn 60&70.
   
 3. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  IQ ni uhuni wa wazungu achana nayo, waafrica wengi wana akili zaidi ya wazungu...huo ni ukweli hata mkiingia darasa na mzungu atakimbia mwenyewe. siyo kwamba hawapendi kuja kusoma UDSM au SUA wakija milecturer yetu inakula vichwa mapema sana wanaishia kudai wao foreigners na wakubwa kwa kuogopa kunyimwa misaada wanawa pasisha. Try to ask any physician even psychiatrician....they will tell you IQ is Crap..bullshit
   
 4. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Before I comment on this I would like to know the following:
  1. The source
  2. Was the test standard for all regions?
  3. Did the test take into account the different conditions around the world? for example level of development
  4. What language was the test conducted in?
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
   
 6. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndivyo mnavyojidanganya?eti mna akili?si mngeacha kutembeza bakuli basi kwa hao mnaowabeza kama na nyie zimo?mna akili halafu mnaenda kuficha hela uswisi huku wenzenu wanakufa kwa njaa na malaria?eti mna akili nyie?mnatembelea magari ya kifahari ya mamilioni huku hamna umeme,hamna vitanda hospitali,hamna maji,eti mna akili nyie?vyuo vinavyotumia vitabu vilivyoandikwa na haohao wazungu mnaowabeza,eti vina akili?vimekalia politiki badala ya tafiti,eti vina akili?mweee!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Rosmarie vipimo vya iq vina utata mwingi na sio vya kuaminika sana
  Mfano hapo umeatoa maksi ila hatujui hiyo IQ ni za
  • vitu gani? General knowlege, Numbers, International matters, Science.
  • Ni za watu wa age group gani.
  Mfano hata yule Sarah palin mapka anagombea urais wa marekani alikua akijua africa ni nchi. Alfau angalia hizi clip za youtube video
  Sasa kwa kungalia clip hizo unaweza ku conclude wamerekani IQ yao ni ndogo sana. but sio kweli but inanyesha jinsi vipimo vya iQ vilivyo na utata?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Sun Tzu

  Sun Tzu Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  This is cap, plain and simple! If you refers to any book on IQ test, you will find out that an average person have an IQ scores above 100%. People with mental development problem have mental ability below 75%. I have a feeling that a person who conducted this (numbers) I belive not a survey isn't a scientist but a white suprematist who want to justify his or her race using cooked up numbers. Usually a genius entry point is 138% and genius will score 140%. Albert Einstein had an IQ score of 150%. A HUMAN being during his or her lifetime uses only about 6% of his or her fully potentials.This is true for people such as Albert Einstein, Plato, Aesop, Isaac Newton, Bill Gates, Andrei Sakharov, Sigmund Freud, Karl Marx, and of course Mwalimu Nyerere and others.
   
 9. L

  Leornado JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Albert Einstein baadaye akili zilimzidi akawa kama kachanganyikiwa flani.
   
 10. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Isijekuwa yeye aliwaza mambo magumu kwa level zetu siye tukadhani amechanganyikiwa..
   
 11. L

  Leornado JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wajerumani wenyewe wanakiri hilo kuwa jamaa alikuwa na akili nyingi kiasi kwamba akaanza kuwa kituko.

  Cheki hapa
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  that i can answer you! I happen to have taken this test online and what i found out ni kua IQ not only tests your intelligence it's also a test of your knowledge of english,basicaly if u do not know english you have failed the test,this is crazy!
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  labda kuna uwezo masomo na uwezo wa kufikiri
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ndo maana yake,mfano hai ni kwa haya magamba,kama gamba moja hivi limesoma sana ila kufikiria sasa ni pumba tu,gamba kubwa hivi lina udocta wa kuungaunga...oops i've said too much.
   
 15. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Dada huo mfano wa SUA na UDSM ni vyema ukae nao kichwani maana tunajidanganya saana. Sijui umesoma vyuo bora duniani na hiyo ndio conclusion yako! Kuna watu tumesoma bongo na huko kwingine. Shughuli ni ndefu. Lakini pia nadhani IQ inategemea saana na mazingira mtu aliyopo. Its not natural based but hugely depends on effort.
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kama hii Test imefanywa kwa viongozi wakuu wa nchi tajwa, basi results zinaweza kuwa na ukweli.
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wazungu ni waongo sana sio kila kitu kuwafata
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Why am I not surprised? lengo ni kuonyesha kua waafrika hatuna capacities kama wazungu ila najua nikienda Lindi niulize mtoto Ufaransa iko wapi kwenye ramani ya dunia ata nambia ila nikiuliza mwamerika atashindwa. Hizo hizo statistics zinasema 10% of belgians can't read and write, 20% of US citizen think the USA is a continent and Africa is a wild country where lions and elephant rule...
  Inategemea ni point gani anataka kutoa hapo... Na sample gani alichagua. Kama Tanzania walienda kuchukua sample Kigoma (hometown kwangu by the way) na US wakaenda Yale University maybe ndio maana...
   
 19. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Agree,
   
 20. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  IQ jamani si kipimo sahihi cha akili ya mtu labda tuumize vichwa kupata kanuni nzuri zaidi,ila kwa sasa tukubali wenzetu weupe wako mbali
   
Loading...