Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
Mkuu tunaambiwa alikuwa mtu fresh hana noma mtu muungwana.....lakini mafanikio yake hayatajwi.....binafsi sioni kama kuna mafanikio ya kujivunia kwa Ippy....kaacha nini ambacho leo hii tumkumbuke zaidi ya ile kinachozungumzwa "alikuwa mtu fresh" zaidi ya member mmoja kusema walikuwa wakigombania mademu!!sawa hata mimi nasikitika sana kwa kifo chake. Ila mbona mafanikio yake ya kijamii ambayo kama ni mazuri hayatajwi?Mchangiaji anasema alikuwa mtu wa watu halafu hafafanui wala hata kutaja mafanikio yake. Nakupa mfano mtu anaposema mtu wa watu. Ehud Barak ambaye kwa sasa ni waziri mkuu-1972 akiwa na miaka 19 aliwaokoa waisrael 200 waliokuwa ndani ya ndege ya sabena iliyotekwa nyara mjini tel aviv. 1973 alikuwa shujaa , aliongoza vizuri kikosi cha vifaru na ni mmoja wa makomando waliosababisha kukomboa mfereji huo. Mwaka 1976 alishiriki katika kikosi cha makomandoo wa Israel walikwenda kuwaokoa ndugu zao pale entebe. Yeyey ndiye aliyechukua uongozi mara baada ya netanyahu kupigwa risasi. hapo alipata medali ya ushujaa pale entebe. Hapo nimekufafanulia vizuri sifa za Ehud na hata wewe mwenyewe umemfahamu vizuri na kumpenda.
Sasa unapotaka watu tukuunge mkono kuhusu Ippy na ushujaa wake huna budi kufafanua accomplishments zake kwa umma. kama ni nzuri, tupo tayari hata kumpatia jina katika mitaa mbali mbali ili akumbukwe daima.
Mkuu ndani ya chama cha magamba, hayo yanawapa influence ndani ya chama, then wanaongoza chama na hatimaye nchi.Mkuu tunaambiwa alikuwa mtu fresh hana noma mtu muungwana.....lakini mafanikio yake hayatajwi.....binafsi sioni kama kuna mafanikio ya kujivunia kwa Ippy....kaacha nini ambacho leo hii tumkumbuke zaidi ya ile kinachozungumzwa "alikuwa mtu fresh" zaidi ya member mmoja kusema walikuwa wakigombania mademu!!
Umetoa mfano mzuri mkuu....
Kuna watu leo hii uko walipo watakuwa peponi kwa kile walichotufanyia watanzania...
Mkuu ndani ya chama cha magamba, hayo yanawapa influence ndani ya chama, then wanaongoza chama na hatimaye nchi.
It has been happening for 50 years and counting...
Assume kama Nyerere naye angewalea watoto wake kwa style kama wanavyolelewa waliomfuata. May be Makongoro nyerere angkeuwa kwa sasa Ni waziri wa mambo ya Nje anayesubiri kupokea Kijiti cha JMK.
Kwa hiyo jmushi siyo 50 years . It has been happening for 30 years and counting
Mkuu tunaambiwa alikuwa mtu fresh hana noma mtu muungwana.....lakini mafanikio yake hayatajwi.....binafsi sioni kama kuna mafanikio ya kujivunia kwa Ippy....kaacha nini ambacho leo hii tumkumbuke zaidi ya ile kinachozungumzwa "alikuwa mtu fresh" zaidi ya member mmoja kusema walikuwa wakigombania mademu!!
Umetoa mfano mzuri mkuu....
Kuna watu leo hii uko walipo watakuwa peponi kwa kile walichotufanyia watanzania...
Bila shaka sikuwa kwenye ulingo wa siasa kipindi hicho ila jina hilo siyo geni masikioni pangu!
Shaka ondoa watau watakuja bila shaka.
CCM NI JANGA KWA TAIFA LETU!
Mwisho wao waja hakika!
Yeah, nakumbuka hiyo story nikiwa shule, kitu kama mama yao aliwaruhusu "waibe" gari ya mzee Malecela wakati huo Malecela akiwa safarini kikazi nje ya nchi, na Senyagwa akatoka na wasichana wa UD Hall 3 na rafiki zake wengine wakaenda kujirusha, wakala mzinga wakati wakirudi.Pasco
Ile ajali aliyoipata Senyagwa ilisikitisha sana.....na hasa kama unakumbuka kisa chake kilivyoanzia.......RIP Senyagwa, RIP Catherine, RIP Ipyana.....
Yeah, nakumbuka hiyo story nikiwa shule, kitu kama mama yao aliwaruhusu "waibe" gari ya mzee Malecela wakati huo Malecela akiwa safarini kikazi nje ya nchi, na Senyagwa akatoka na wasichana wa UD Hall 3 na rafiki zake wengine wakaenda kujirusha, wakala mzinga wakati wakirudi.
Sijui kama walikuwa wamepiga maji au vipi. Wakati huo kuwa na gari ilikuwa ujiko sana, hata foleni kulikuwa hakuna kwa jinsi yalivyokuwa machache.