IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Kama kafulila kaisingizia iptl,wamfikishe mahakamani.nami nasema iptl lazima iwajibike kwa dhuma yake kwa wtz.

Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa kupitia Wizara ya Nishati na Madini, shirika la IPTL
naBenki Kuu ya Tanzania (wakala) kutokana na Mkataba
wakuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO
kulianzishwa akaunti ya ESCROW.MAtakwa ya makubaliano ya
kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga,
kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni
binafsi ya IPTL na TANESCO ni kwa serikali kufungua letters
of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.Akaunti hiyo siyo
fedha za serikali bali ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana na
matakwa ya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka
kampuni binafsi.
 
Kafulila endelea kuropoka!! lakini penye ukweli uongo hujitenga!!

Daily News; Tuesday, Octobar 14,2014

attachment.php
 
Kama kafulila kaisingizia iptl,wamfikishe mahakamani.nami nasema iptl lazima iwajibike kwa dhuma yake kwa wtz.

ndugu yako kafulila njaa moto,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.
 
Kafulila endelea kuropoka!! lakini penye ukweli uongo hujitenga!!

Daily News; Tuesday, Octobar 14,2014

attachment.php

Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
huyu nikiongozi aliyekosa leadership skills, hana jipya kwa wapiga kula wake. Huyu nimwanasiasa wa matukio, hata kuchaguliwa kwake ilikuwa ni mchakato wa kimatukio.Bila scandal la EPA NA RICHMOND tusingepata mbunge kilaza kama huyu, matukiondio yalimfanya awe mbunge leo. Hana uwezo wa kuliongoza jimbo lake na kuletamabadiriko ya ukweli kwenye maisha ya wapiga kula wake.
 
Dah!! haibu gani hii kwa KAFULILA, kumbe hili swala la kubadilishwa mitambo toka mafuta mazito kwenda gesi lilikuwemo kwenye hukumu ya jaji Utamwa!!

Mahakama Kuu ya Tanzania imeiamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la usambazaji Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha kuingilia utulivu, umiliki, usimamizi na utawala wa mitambo ya ufuaji umeme ya Harbinder Singh Sethi iliyopo Tegeta,na kusubiri uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi.
Hukumu hiyo iliyotolewa jana Dar es salaam na mahakama Kuu kutoa zuio la kudumu kwa benki ya standard Chartered kuhusu umiliki wa IPTL na kwamba zuio hilo na PAP ndiye mmiliki halali wa IPTL na siyo wengine wowote.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti na mtendaji wa PAP/IPTL,Seth alisema kuwa hukumu hiyo inaeleza kuwa IPTL iendelee kuzalisha umeme kama ilivyokuwa inafanya na kuwauzia TANESCO huku mmiliki halali akiwa ni PAP.
"tunapenda kuwakumbusha watanzania kwamba PAP/IPTL imejizatiti kikamilifu kuhakikisha inawahudumia ipasavyo na kwamba inawataka wapuuze watu wanaotoa maneno ya uongo ili kuwavuruga utendaji na utoaji huduma alisema Seth"
Aliongeza kuwa kumekuwepo na maneno mengi yanayotokana na kutokuwa na uelewa mzuri kwa wanayoyasambaza kutokana na chuki za kibiashara na mengine yanayotakana na kutafuta sifa za kisiasa,alisema taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa mara kwa mara kuhusu IPTL kuwa na mgogoro na TANESCO mahakamani siyo kweli na wala hawana shida yoyote mahali popote duniani.
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited na Pan African Power Solutions Limited (PAP) zilifungua kesi kwa kuhoji uhalali wa maamuzi ya kituo cha kimataifa cha kutatua migogoro ya uwekezaji (ICSID) dhidi ya Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (SCB-HK) na Martha Renju anayedaiwa kuwa msimamizi wa mali zake,ijukanayo kama "Decision on Jurisdiction and Liability" iliyotolewa katika kesi ya ICSID namba ARB/10/20.Katika hukumu hiyo yenye ukurasa 16 iliyoandikwa na Jaji Dkt.Fauz Twaib na kusomwa kwa niaba yake na Jaji Amri Msumi Hamisi, Mahakama Kuu iliwazuia SCBHK au TANESCO kuendelea kuwabughuzi IPTL/PAP zinazomilikiwa na Seth mpaka pale uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi itapoamuliwa .
Katika hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama mbele ya Bw.Sethi mmiliki wa IPTL/PAP na Kieren Day (Mkurugenzi wa SCB-HK), Jaji Twaibu aliamuru TANESCO kutofanya biashara yoyote na SCB-HK au Martha Renju kwa niaba ya IPTL/PAP bila ya kuwa na idhini ya kimaandishi kutoka kwa IPTL/PAP.
"wadaiwa kwa pamoja wanazuiliwa kufanya utekelezaji wa maamuzi yaliyotolewa katika chombo cha kimataifa ya ICSID yenye namba ARB/10/20 na kusambazwa kwa wahusika February 12,2014 kwa namna yeyote ile na kusubiri uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya madai" inasomeka sehemu ya hukumu hiyo.
 
Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa kupitia Wizara ya Nishati na Madini, shirika la IPTL
naBenki Kuu ya Tanzania (wakala) kutokana na Mkataba
wakuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO
kulianzishwa akaunti ya ESCROW.MAtakwa ya makubaliano ya
kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga,
kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni
binafsi ya IPTL na TANESCO ni kwa serikali kufungua letters
of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.Akaunti hiyo siyo
fedha za serikali bali ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana na
matakwa ya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka
kampuni binafsi.

Mahakama pia imezuia TANESCO kutotekeleza au kukubaliana na au kuyatekeleza maamuzi ya ICSID na kusubiri uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi
 
kichefu chefu haswaaaa kama utapike vile,ina maana hajui kafulila ana kesi mahakamani

kafulila ana njaa moto,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.
 
Dah!! haibu gani hii kwa KAFULILA, kumbe hili swala la kubadilishwa mitambo toka mafuta mazito kwenda gesi lilikuwemo kwenye hukumu ya jaji Utamwa!!

kafulila ana njaa moto,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.
 
Daily News; Wednesday, October 15,2014

""The government to tell the public the truth on the position regarding monies that were in the escrow account. Leaving other people to speculate and going on giving misleading information about the money is not proper. Facts are available that clearly show that the money in the escrow account does not belong to the public. It is privately- owned money.""
 
PTL owns ‘all’ in BoT escrow account- Claim.
Daily News; Wednesday 15, 2014
By DAILY NEWS REPORTER

A LOCAL company, VIP Engineering and Marketing Limited, has maintained that all the money that was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT) belongs to Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
A Statement issued in Dar es Salaam by the International Independent Consultant with VIP Company, Mr James Rwegemalira, to a team of lawyers, doctors and other experts reads:
“It is VIP’s strong view and understanding that the Escrow Account monies at the BoT, at all material times, belonged to IPTL.
Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company also believes that Standard Chartered Bank Group was not a creditor of IPTL while it has also caused a lot of damage not only to his company but to Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) and to the government.
He advised that Tanesco and the government should take legal measures against Standard Chartered Bank for the recovery of the damages allegedly caused “as what VIP Company has done”.
The company has already commenced a civil suit at High Court against the bank, claiming not less than 490.09million US dollars (about 787bn/-). Mr Rwegemalira, therefore, called anybody who has claims against VIP to apply for leave of the High Court of Tanzania to make counter claims in the case.
One of the VIP Company lawyers, Dr Camilo Schutte from Amsterdam, Netherlands, asked the government of Tanzania to tell the public the truth on the position regarding monies that were in the escrow account.
“Leaving other people to speculate and going on giving misleading information about the money is not proper. Facts are available that clearly shows that the money in escrow account do not belong to the public. It is privately-owned money,” the lawyer insisted.
He also advised members of the public to take keen interest by reading court records from the High Court of Tanzania and other records concerning the IPTL from other jurisdictions in United States and other parts of the world “to know the truth about the matter”.
Clarifying more on the matter, Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company has been going to court since 2002, complaining against the non-registration of its payment in kind of 13.5 million US dollars for its 30 per cent equity in IPTL.
The company had also been complaining about fictitious debts, which Mechmar Corporation (Malaysia) Berhad was oppressively foisting upon IPTL. VIP requested the High Court to compulsorily appoint a Provisional Liquidator of IPTL to investigate the allegations.
The Liquidator of IPTL produced two interim reports, which allegedly prima facie confirmed VIP’s allegations. In 2005, Standard Chartered Bank purported to have bought debts of IPTL, from the original lenders of IPTL, whom VIP was accusing to be conspiring with Mechmar.
In 2006, VIP politely and diplomatically requested the government and Tanesco to continue buying IPTL power as per the Power Purchase Agreement (PPA) but to deposit the monthly capacity charges of the disputed invoices of about 2.6 million US dollars into the Escrow Account.
Following such request, the government, IPTL and BoT established an IPTL Tegeta Escrow Account for the benefit of only IPTL and GoT and not creditors of IPTL, into which some of the IPTL disputed invoices were being deposited instead of being paid to IPTL.
In July 2013, the Standard Chartered Bank, through the government requested VIP to withdraw in the public interests the petition for the compulsory winding up of IPTL.
VIP agreed on conditions that it shall be entitled to continue with its claims for damages totalling more that 485million US dollars, which it had already commenced in the USA Supreme Court in New York against Standard Chartered Bank since June 10,2013.
Apparently, the negotiations between Standard Chartered Bank and VIP under the mediation of the Government failed. It was at that point when Pan Africa Power Solution (PAP) commenced negotiation and subsequently purchased VIP’s 30 per cent shares in IPTL.

The VIP agreed to withdraw the petition for winding up IPTL with conditions that PAP shall pay to VIP 75.0million US dollars to acquire its shares, commits before the High Court pay off all legitimate creditors of IPTL and expand the Power Plant Capacity from 100 MW to about 500MW as soon as possible.

PAP was also required to commit itself before High Court that IPTL shall charge Tanesco a tariff of between US Cent 6/kWh (TZS 100/unit) and US Cent 8/kWh (TZS 130/unit), making the capacity charges the cheapest in the country.
 
PTL owns ‘all' in BoT escrow account- Claim.
Daily News; Wednesday 15, 2014
By DAILY NEWS REPORTER

A LOCAL company, VIP Engineering and Marketing Limited, has maintained that all the money that was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT) belongs to Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
A Statement issued in Dar es Salaam by the International Independent Consultant with VIP Company, Mr James Rwegemalira, to a team of lawyers, doctors and other experts reads:
"It is VIP's strong view and understanding that the Escrow Account monies at the BoT, at all material times, belonged to IPTL.
Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company also believes that Standard Chartered Bank Group was not a creditor of IPTL while it has also caused a lot of damage not only to his company but to Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) and to the government.
He advised that Tanesco and the government should take legal measures against Standard Chartered Bank for the recovery of the damages allegedly caused "as what VIP Company has done".
The company has already commenced a civil suit at High Court against the bank, claiming not less than 490.09million US dollars (about 787bn/-). Mr Rwegemalira, therefore, called anybody who has claims against VIP to apply for leave of the High Court of Tanzania to make counter claims in the case.
One of the VIP Company lawyers, Dr Camilo Schutte from Amsterdam, Netherlands, asked the government of Tanzania to tell the public the truth on the position regarding monies that were in the escrow account.
"Leaving other people to speculate and going on giving misleading information about the money is not proper. Facts are available that clearly shows that the money in escrow account do not belong to the public. It is privately-owned money," the lawyer insisted.
He also advised members of the public to take keen interest by reading court records from the High Court of Tanzania and other records concerning the IPTL from other jurisdictions in United States and other parts of the world "to know the truth about the matter".
Clarifying more on the matter, Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company has been going to court since 2002, complaining against the non-registration of its payment in kind of 13.5 million US dollars for its 30 per cent equity in IPTL.
The company had also been complaining about fictitious debts, which Mechmar Corporation (Malaysia) Berhad was oppressively foisting upon IPTL. VIP requested the High Court to compulsorily appoint a Provisional Liquidator of IPTL to investigate the allegations.
The Liquidator of IPTL produced two interim reports, which allegedly prima facie confirmed VIP's allegations. In 2005, Standard Chartered Bank purported to have bought debts of IPTL, from the original lenders of IPTL, whom VIP was accusing to be conspiring with Mechmar.
In 2006, VIP politely and diplomatically requested the government and Tanesco to continue buying IPTL power as per the Power Purchase Agreement (PPA) but to deposit the monthly capacity charges of the disputed invoices of about 2.6 million US dollars into the Escrow Account.
Following such request, the government, IPTL and BoT established an IPTL Tegeta Escrow Account for the benefit of only IPTL and GoT and not creditors of IPTL, into which some of the IPTL disputed invoices were being deposited instead of being paid to IPTL.
In July 2013, the Standard Chartered Bank, through the government requested VIP to withdraw in the public interests the petition for the compulsory winding up of IPTL.
VIP agreed on conditions that it shall be entitled to continue with its claims for damages totalling more that 485million US dollars, which it had already commenced in the USA Supreme Court in New York against Standard Chartered Bank since June 10,2013.
Apparently, the negotiations between Standard Chartered Bank and VIP under the mediation of the Government failed. It was at that point when Pan Africa Power Solution (PAP) commenced negotiation and subsequently purchased VIP's 30 per cent shares in IPTL.

The VIP agreed to withdraw the petition for winding up IPTL with conditions that PAP shall pay to VIP 75.0million US dollars to acquire its shares, commits before the High Court pay off all legitimate creditors of IPTL and expand the Power Plant Capacity from 100 MW to about 500MW as soon as possible.

PAP was also required to commit itself before High Court that IPTL shall charge Tanesco a tariff of between US Cent 6/kWh (TZS 100/unit) and US Cent 8/kWh (TZS 130/unit), making the capacity charges the cheapest in the country.
kaka j4 nimekupata vizuri sana
 
Only in Tanzania Mbunge anaweza kutumia kinga ya mbunge vibaya kuchafua kampuni binafsi kwa kulipwa na watu wenye fedha na chuki dhidi ya makampuni binafsi

Makandege alisema Kafulila anaposema Singasinga Seth haruhusiwi kufanya biashara Kenya, wakati Singasinga huyo huyo, ameshapewa kibali cha kuzalisha umeme na kuuza Kenya ikiwa ni mara 20 zaidi anayozalisha Tanzania, Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kuamini upuuzi huu wa Kafulila
 
Back
Top Bottom