IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

story unachanganya mwenyewe mkuu,story kuu ni kafulila arudishe pesa za watu mafisadi alizokula halafu mjadala uendelee
umeona mkuu kama story anachanganya mwenyee jamaa
mkuu ebuu afatilie kuanzia mwanzo hadi mwisho alafu atajua kama anachanganya mwenye
 
Kweli mkuu aje tu atuombe radhi watanzania, minakuunga mkono. Au kama anazo zile nyaraka 600 basi aje atuonyeshe watanzania ili tupambane wote kuakikisha mafisadi wanachukuliwa hatua. Ila kama hana nyaraka aje tu atuome radhi watanzania.
yaa mkuu maana hii issue mwisho wake jamaa ataumbuka vibaya sana so it better akaja kwetu na kusema mapema kabisa kabla msala ujawa mkubwa sana
 
Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu

Achaa kupotosha umma wewe
 
Tokeaa nianze kufatilia hapa naona amna kess hapa ni magumashi tu
kafulila achaa njaa mkuu

Kutumika kwa kafulila kutakuja kumuumbua mpaka dunia ataiona chungu ndipo atakapo poromoka kisiasa na heshima yake kushuka kwa jamii kwa kuendekeza fedha za mafisadi.
 
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
kweli kabisa huu niupotoshaji ambao unatakiwa kukemewa kabisa yani hii yote inatokana na ugomvi ulikuwepo kt ya wafanyabiashara wakubwa ambao wanawatumia wana siasa wachumia tumbo kama kafulila ili kupotosha umma ambacho kitu c kweli kabisa
 
Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu
mkuu matusu yametoka wap?
kuwa mstarabu kidogo alafu jaribu kufikilia kwa ubongo na co makalio mkuu
 
Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu

Mkuu naomba unitakee radhii kwa kwa matusi mazito uliyo nitukana;-)
kumbe mkuu unajua kwamba ata kama anaIDs 200 uwezi kumzuia mtuu kuongea asa na mimi ndoo naongea kuhusu huu mjadala kwa bwana mdogo kafulila ndo mwanzili wa huu upumbavu wote maana zile mlns 90 zinamtia wazimu maana paka mkee zimempatiaa duuu!
Kweli nimeamini pata pesa tujue tabia yako

MKUU TUKANA TENA MAANA MI NI BINGWA WA KUVUMILIA MATUSI
 
jamani wanajamvi tunapobishana naomba tubishane kwa hoja na sio kwa matusi kama wanavyo fanya wengine humu ndani
naomba kuwakilisha
 
Kuna watu wapo kazini kwenye hili swala la IPTL...Naona Singa Singa katoa kazi na dau la kutosha kwa watu wa mtandaoni....Wasubili Report ije Bungeni..
Naona ID zilezile ktk kutetea IPTL/PAPS
mkuu kwani ripot lini naomba unijuzee kaka angu
 
IMG-20141007-WA0003.jpg

teh teh teh teh!!! mjomba ako kafulila huyo
 
Back
Top Bottom