IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu

View attachment 191374
Mjomba ako Bak huyo!! Ona alivyopanic, anatoa mpaka matusi. Lakini wenyewe wanasema washamzoea, siku zote huwa hana hoja, anatoa matusi tu yeye!!!
 
Hujitambui wewe mama fisadi Tibaijuka. Chonga hata IDs 10,000 na uwaite ukoo wako wote hapa watukane watu wadhalilishe watu lakini ukweli unaujua kwamba ulipokea pesa za wizi ulistahili kufukuzwa kazi na kuwepo lupango muda mrefu. Shukuru Mungu kwamba huyo kiongozi wa nchi naye ni fisadi. Kachonge ID nyingine uendelee kuzijaza mpumbavu mkubwa mxciuuuuuu.

Kumbe hizi id zinazomsapoti ni zake. Lakini ni ujinga kupinga ukweli kungekuwa hakuna tatizo sidhani kama wafadhili wabajeti wangegoma kutoa mpunga mpaka sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
IPTL yatangaza punguzo kubwa la umeme kuanzia mwakani,hii ni habari njema mnooo, lakini endapo itatekelezwa nimeona kwenye blogs,haya tusubiri tuone
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

kweli akili mali kuliko mali,kwani umeambiwa nani ataki kusubiri
 
Hujitambui wewe mama fisadi Tibaijuka. Chonga hata IDs 10,000 na uwaite ukoo wako wote hapa watukane watu wadhalilishe watu lakini ukweli unaujua kwamba ulipokea pesa za wizi ulistahili kufukuzwa kazi na kuwepo lupango muda mrefu. Shukuru Mungu kwamba huyo kiongozi wa nchi naye ni fisadi. Kachonge ID nyingine uendelee kuzijaza mpumbavu mkubwa mxciuuuuuu.

poleee jamani kaka BAK usipanic lakini ndio mijadal ilivyo
 
Kumbe hizi id zinazomsapoti ni zake. Lakini ni ujinga kupinga ukweli kungekuwa hakuna tatizo sidhani kama wafadhili wabajeti wangegoma kutoa mpunga mpaka sasa.

kweli akili ni mali kuliko mali
 
Mkuu MANI zimo za mama fisadi Tibaijuka na wapambe wake, zimo za Werema na wapambe wake zimo za Muhongo na wapambe wake na wengine pia ambao waliopokea mgao wa Fedha za wizi toka kwa fisadi Rugemarila .

Duuh kazi ipo basi hivi wameona ile habari ya donor's kwamba no mkwanja mpaka hili lieleweke?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wala sijapanick na wala siwezi kupanick kwa kutetea maslahi ya Tanzania. Hunifahamu kwa hiyo usitake kufikia hitimisho ambalo halipo. Acha kujibaraguza

kweli akili mali kuliko mali,kwani umeambiwa nani ataki kusubiri
 
Wameshindwa kuikanusha hiyo na kubaki wanaweweseka! Kitaeleweka tu kwenye wizi huu.

Duuh kazi ipo basi hivi wameona ile habari ya donor's kwamba no mkwanja mpaka hili lieleweke?
 
mkuu mani zimo za mama fisadi tibaijuka na wapambe wake, zimo za werema na wapambe wake zimo za muhongo na wapambe wake na wengine pia ambao waliopokea mgao wa fedha za wizi toka kwa fisadi rugemarila .

huwezi amini maneno hayo kaongea mtu mzima duu kweli sio kila mwenye ndevu mtu,wengine mbuzi
 
wala sijapanick na wala siwezi kupanick kwa kutetea maslahi ya tanzania. Hunifahamu kwa hiyo usitake kufikia hitimisho ambalo halipo. Acha kujibaraguza

pole sana mdogo wangu nijibaraguze kwako ili iweje,kama mjadala numekushindwa achia wengine waendelee kujadili
 
wameshindwa kuikanusha hiyo na kubaki wanaweweseka! Kitaeleweka tu kwenye wizi huu.

mwenye busara hajibu kila kitu anachoambiwa na mpumbavu,vingine unawaachia wapumbavu wajibizane,done
 
Hujitambui wewe mama fisadi Tibaijuka. Chonga hata IDs 10,000 na uwaite ukoo wako wote hapa watukane watu wadhalilishe watu lakini ukweli unaujua kwamba ulipokea pesa za wizi ulistahili kufukuzwa kazi na kuwepo lupango muda mrefu. Shukuru Mungu kwamba huyo kiongozi wa nchi naye ni fisadi. Kachonge ID nyingine uendelee kuzijaza mpumbavu mkubwa mxciuuuuuu.

''Tunapenda kuwasisitizia watanzania waendelee kumpuuza mtu huyu kwani kwa sasa amevurugwa ndio maana anahamishahamisha mijadala na kiasi cha kumhusisha Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri huku akijua ESCROW ni jambo la kisheria na si la kisiasa na yalikuwa malipo halali kwa IPTL/PAP na huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo, na ningemshauri Kafulila ajifunze nini maana ya ESCROW hata kwa njia ya mtandao

ili siku nyingine asiendelee kulishwa ujinga wa namna hii bila kujua ukweli wa ndani kufanya hivyo ni kufedhehesha watanzania kwamba wanawachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila''. ilisema taarifa hiyo.

Ilisema uelewa finyu huu wa Kafulila unamsababisha ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi, fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT, kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi za TANESCO tunasisitiza IPTL/PAP sio shirika la Umma wala mali ya serikali,

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika mashirika ya umma yanayofilisika kila kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.

Hivyo, tunawahakikishia watanzania tutaendelea kuzalisha na kuwauzia umeme wa uhakika na kwa bei nafuu na mchakato wetu wa kushusha bei ya umeme kutoka 450 ya sasa kwa uniti mpaka sh. 80 uko mbioni kukamilika ili watanzania wafurahie huduma ya umeme na wachagize maendeleo yao japo kina Kafulila na wapinzani wetu wa kibiashara hawapendi watanzania wafaidi matunda yao
 
Back
Top Bottom