rebeccamrema
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 334
- 196
3. Sethi alitumia fedha za Escrow ambazo ni za umma kufanya malipo ya asilimia 90 ya manunuzi yote ya IPTL (rejea barua ya Rugemalila ya Desemba 5, 2013).
hiyo hapo juu ni hoja ya kafulila kwenye press release yake,sasa kama fedha za escrow ni zao wabia waliokuwa wanagombana juu ya mgawanyo wa fedha za iptl,kama mbia mmoja akaamua kutumia mgao wa fedha zao walizokuwa wanatunziwa na BOT ili kumnunua mwenzake,ni upumbavu wao wenyewe maana fedha ni mali yao na kuhusu matumizi ya fedha zao haituhusu hata kidogo,kama wametapeliana ni wao wenyewe kafulila asilazimishe watanzania kujadili mambo binafsi ya kampuni binafsi