MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,394
unapost ujinga na kujijibu mwenyewe kweli umefilisika mkuu
Pole sana
unapost ujinga na kujijibu mwenyewe kweli umefilisika mkuu
mwenye busara hajibu kila kitu anachoambiwa na mpumbavu,vingine unawaachia wapumbavu wajibizane,done
pole sana mdogo wangu nijibaraguze kwako ili iweje,kama mjadala numekushindwa achia wengine waendelee kujadili
pole sana mdogo wangu nijibaraguze kwako ili iweje,kama mjadala numekushindwa achia wengine waendelee kujadili
Kweli wewe ni mpumbavu wa hali ya juu!!! Kumbe upo hapa kushindana!? Aliyekupa huo ushindi ni nani!? Kashindane na mapanya na mafisi wenzio mimi sichangii hapa kutafuta ushindi hilo si dhumuni langu la kuchangia hapa JF.
mkuu imekuwaje tena umeshindwa kuhimili muhemko huo?. mbona jamaa wanaeleweka sana hawa. tumekuwa tukisikia habari za upande mmoja tu, sasa wache tupate na za upande wa pili.
kumbe IPTL hana kesi na TANESCO?. sasa mbona wanasiasa wetu wanantubabaisha sana?.
Mtachonga sana IDs mwaka huu ili kuharibu ushahidi wa wizi wenu. Hata hao Wafadhili waliokataa kutoa pesa zao 1 Trilioni shilingi nao pia wamekurupuka kutaka kujua kuhusu pesa ambazo si za umma.
Kweli wewe ni mpumbavu wa hali ya juu!!! Kumbe upo hapa kushindana!? Aliyekupa huo ushindi ni nani!? Kashindane na mapanya na mafisi wenzio mimi sichangii hapa kutafuta ushindi hilo si dhumuni langu la kuchangia hapa JF.
Kwi kwi kwi lol!!! Nawe eti una busara halafu upo hapa kutwa kucha kutetea mapanya na mafisi wanaoiangamiza nchi. Upumbavu wako kaongee na hao mafisadi wenzio.
''Tunapenda kuwasisitizia watanzania waendelee kumpuuza mtu huyu kwani kwa sasa amevurugwa ndio maana anahamishahamisha mijadala na kiasi cha kumhusisha Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri huku akijua ESCROW ni jambo la kisheria na si la kisiasa na yalikuwa malipo halali kwa IPTL/PAP na huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo, na ningemshauri Kafulila ajifunze nini maana ya ESCROW hata kwa njia ya mtandao
ili siku nyingine asiendelee kulishwa ujinga wa namna hii bila kujua ukweli wa ndani kufanya hivyo ni kufedhehesha watanzania kwamba wanawachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila''. ilisema taarifa hiyo.
Ilisema uelewa finyu huu wa Kafulila unamsababisha ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi, fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT, kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi za TANESCO tunasisitiza IPTL/PAP sio shirika la Umma wala mali ya serikali,
Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika mashirika ya umma yanayofilisika kila kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.
Hivyo, tunawahakikishia watanzania tutaendelea kuzalisha na kuwauzia umeme wa uhakika na kwa bei nafuu na mchakato wetu wa kushusha bei ya umeme kutoka 450 ya sasa kwa uniti mpaka sh. 80 uko mbioni kukamilika ili watanzania wafurahie huduma ya umeme na wachagize maendeleo yao japo kina Kafulila na wapinzani wetu wa kibiashara hawapendi watanzania wafaidi matunda yao
Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na Mjinga
ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni MJiNGa...Somo
kubwa sana 2014...prof kabudi.
kwi kwi kwi lol!!! Nawe eti una busara halafu upo hapa kutwa kucha kutetea mapanya na mafisi wanaoiangamiza nchi. Upumbavu wako kaongee na hao mafisadi wenzio.
acha kujibaraguza wewe!!!! Ati mie mdogo wako!!!! Mxciuuuuuuuuuu niondolee ujinga wako
kweli wewe ni mpumbavu wa hali ya juu!!! Kumbe upo hapa kushindana!? Aliyekupa huo ushindi ni nani!? Kashindane na mapanya na mafisi wenzio mimi sichangii hapa kutafuta ushindi hilo si dhumuni langu la kuchangia hapa jf.
mtachonga sana ids mwaka huu ili kuharibu ushahidi wa wizi wenu. Hata hao wafadhili waliokataa kutoa pesa zao 1 trilioni shilingi nao pia wamekurupuka kutaka kujua kuhusu pesa ambazo si za umma.
huna uwezo wa kumpa somo yeyote hapa wewe mchumia tumbo. Ungekuwa si mpumbavu basi siku zote ungejali maslahi ya nchi yako badala ya yale ya mafisi na mapanya. Naona umeshahamia kwenye id nyingine!!! Halafu unadai wewe si mpumbavu lol!!
just one person hajalala mpaka sahizi saa nane kasoro za usiku, alafu huu ndio mchango wake!! Kweli jamani?? Pap wanasema hawana kesi na tanesco, je kafulila anayesema kesi ya tanesco na iptl bado ipo mahakani ipo mahakama ipi ?? Usiwatoe watu kwenye ukweli kwa lugha za kukejeri na matusi.
Kafulila ameshindwa kushawishi umma kumuunga mkono na sababu ni ukweli kuwa hakuna ufisadi kwenye accont ya escrow kama wewe unaujua ni ufisadi gani umefanyika msaidie kafulila kuueleza umma, namimi pia ningependa kuyasikia maelezo yako wewe bak, nikivipi kuna ufisadi kwenye escrow??
Tusijadili hizi hoja kama tupo vichochoroni bwana tunawachefua watu wengine makini kufatilia na kupata kujifunza kupitia michango mbalimbali.
Na hii si kwa bak tu na wengine wote kama huna cha kuchangia baki kuwa msomaji tu. Hata hivyo viewers ni wengi kuliko wachangiaji.
Acha upumbavu wewe!!!! Kulala kwangu hakukuhusu lolote. Wafadhili wamekataa kutoa almost $600 million mpaka wajue kinaga ubaga cha wizi huu wa shilingi 200 bilioni na wewe mchumia tumbo uko busy kutaka kuvuruga ukweli wa mambo. Hujitambui kabisa mpumbavu wewe!!! Mxciuuuuu haya kabadilishe utumie ID nyingine na huo upumbavu wako wa kuandika kwa kutumia capital letters achana nao. Pumbaf mkubwa wewe. Kama mlidhani mtachonga IDs 10,000 na kuja hapa kutukana watu, kudhalilisha watu ili mpotoshe ukweli kuhusu wizi huu mkubwa basi imekula kwenu. Haya kakojoe ukalale sasa.
Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu
Hujitambui wewe mama fisadi Tibaijuka. Chonga hata IDs 10,000 na uwaite ukoo wako wote hapa watukane watu wadhalilishe watu lakini ukweli unaujua kwamba ulipokea pesa za wizi ulistahili kufukuzwa kazi na kuwepo lupango muda mrefu. Shukuru Mungu kwamba huyo kiongozi wa nchi naye ni fisadi. Kachonge ID nyingine uendelee kuzijaza mpumbavu mkubwa mxciuuuuuu.
Mkuu MANI zimo za mama fisadi Tibaijuka na wapambe wake, zimo za Werema na wapambe wake zimo za Muhongo na wapambe wake na wengine pia ambao waliopokea mgao wa Fedha za wizi toka kwa fisadi Rugemarila .
Wala sijapanick na wala siwezi kupanick kwa kutetea maslahi ya Tanzania. Hunifahamu kwa hiyo usitake kufikia hitimisho ambalo halipo. Acha kujibaraguza
Wameshindwa kuikanusha hiyo na kubaki wanaweweseka! Kitaeleweka tu kwenye wizi huu.
Kwi kwi kwi lol!!! Nawe eti una busara halafu upo hapa kutwa kucha kutetea mapanya na mafisi wanaoiangamiza nchi. Upumbavu wako kaongee na hao mafisadi wenzio.
Acha kujibaraguza wewe!!!! Ati mie mdogo wako!!!! Mxciuuuuuuuuuu niondolee ujinga wako
Kweli wewe ni mpumbavu wa hali ya juu!!! Kumbe upo hapa kushindana!? Aliyekupa huo ushindi ni nani!? Kashindane na mapanya na mafisi wenzio mimi sichangii hapa kutafuta ushindi hilo si dhumuni langu la kuchangia hapa JF.
Mtachonga sana IDs mwaka huu ili kuharibu ushahidi wa wizi wenu. Hata hao Wafadhili waliokataa kutoa pesa zao 1 Trilioni shilingi nao pia wamekurupuka kutaka kujua kuhusu pesa ambazo si za umma.
Huna uwezo wa kumpa somo yeyote hapa wewe mchumia tumbo. Ungekuwa si mpumbavu basi siku zote ungejali maslahi ya nchi yako badala ya yale ya mafisi na mapanya. Naona umeshahamia kwenye ID nyingine!!! Halafu unadai wewe si mpumbavu lol!!
Acha upumbavu wewe!!!! Kulala kwangu hakukuhusu lolote. Wafadhili wamekataa kutoa almost $600 million mpaka wajue kinaga ubaga cha wizi huu wa shilingi 200 bilioni na wewe mchumia tumbo uko busy kutaka kuvuruga ukweli wa mambo. Hujitambui kabisa mpumbavu wewe!!! Mxciuuuuu haya kabadilishe utumie ID nyingine na huo upumbavu wako wa kuandika kwa kutumia capital letters achana nao. Pumbaf mkubwa wewe. Kama mlidhani mtachonga IDs 10,000 na kuja hapa kutukana watu, kudhalilisha watu ili mpotoshe ukweli kuhusu wizi huu mkubwa basi imekula kwenu. Haya kakojoe ukalale sasa.
Hakuna hoja hata moja inayojengwa humu, achaneni nae huyu hakuna analolijua. Huwezi kumuhusisha JR na pesa za escrow hata kdogo atakuacha mahakamani asubuhi alafu utamtajrishe kwa mapesa ya fidia. Prof. huwezi kumuhusisha na fedha za escrow hata siku moja, hapo ndipo hoja za Kafulila zinapokosa mashiko yeye anarukia watu tu.
View attachment 191548
Ndio maana kakosa sapoti ya upinzani, hoja yake haina mashiko. Endelea kutukana na kukejeri, anzisha na thread ya kwako inayohusu ID's maana kila anayekupinga kachonga ID's. Tuachane na huyu tumbili anayetuposha kwa lugha chafu.