IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?

Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti
maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa
na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme
inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP,
Joseph Makandege alisema hawana kesi na
TANESCO na anashangazwa na taarifa
zinazotolewa.
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006.
 
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,’’alisema.
Aliongeza; “VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa
ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL
kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa,’’.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa
ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na
benki ya Standard Chartered ya Hongkong
inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar
ya Malaysia.
“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP
haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO
watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu
wetu kwa Watanzania na tutapambana
mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.

jamani inayosemwa inaidai IPTL imeshatoa kauli kuwa hawaida IPTl,kafulila anadanganya sana ndugu zetu,IPTL iko safi kabisa
 
Wabunge kama kina Kafulila wanaonyesha jinsi gani walivyofilisika kisiasa kwa kushindwa kutatua kero za wananchi kwenye majimbo yao na kubeba ajenda zenye maslahi binafsi kwa kujadiri uendeshaji wa kampuni binafsi. Wameshindwa kujadir mashirika ya umma mpaka leo yapo taabani na hakuna hata kesi moja mahakamani inayohusiana na mshirika hayo mfano ATC, TRL, TTCL ipo taabani inajikongoja na mengineyo mengi. Midomo yao wakilala IPTL, wakiamka IPTL. Hawana kazi nyingine hawa wabunge??? zaidi ya hii ya upotoshaji!

iptl siyo mali ya umma.JPG
 
View attachment 191030

kaka shadow, sijasahau ahadi yako ya kumkimbiza huyu mpotoshaji Kigoma kusini 2015, tumkoseshe hicho kiropokeo akaendeshe shule yake aliyofadhiriwa na wakina MKONO,MENGI na ROSTAM.
 
jamani inayosemwa inaidai IPTL imeshatoa kauli kuwa hawaida IPTl,kafulila anadanganya sana ndugu zetu,IPTL iko safi kabisa

Kafulila ni mchumia tumbo tu then anataka kuwaaminisha
watanzania uongo wake kwasababu ya fedha tu alizopewa na
mafisadi wa nchi hii,kiukweli inaniwia vigumu sana kuona
kiongozi kijana kama kafulila anakubali kurubuniwa kirahisi
na kupokea fedha ili akaseme vitu vya uongo bungeni na
kuwadanganya watanzania,na wasiwasi sana na huyu mtu
anaweza ata kuuza nchi kwa tamaa ya fedha.
 
Wabunge kama kina Kafulila wanaonyesha jinsi gani walivyofilisika kisiasa kwa kushindwa kutatua kero za wananchi kwenye majimbo yao na kubeba ajenda zenye maslahi binafsi kwa kujadiri uendeshaji wa kampuni binafsi. Wameshindwa kujadir mashirika ya umma mpaka leo yapo taabani na hakuna hata kesi moja mahakamani inayohusiana na mshirika hayo mfano ATC, TRL, TTCL ipo taabani inajikongoja na mengineyo mengi. Midomo yao wakilala IPTL, wakiamka IPTL. Hawana kazi nyingine hawa wabunge??? zaidi ya hii ya upotoshaji!

View attachment 191030
Kafulila ni mchumia tumbo tu then anataka kuwaaminisha
watanzania uongo wake kwasababu ya fedha tu alizopewa na
mafisadi wa nchi hii,kiukweli inaniwia vigumu sana kuona
kiongozi kijana kama kafulila anakubali kurubuniwa kirahisi
na kupokea fedha ili akaseme vitu vya uongo bungeni na
kuwadanganya watanzania,na wasiwasi sana na huyu mtu
anaweza ata kuuza nchi kwa tamaa ya fedha.
 
kampuni ya kufua umeme iptl/pap sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na shirika la umeme tanzania(tanesco), imefahamika.

hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa iptl/pap haikustahili kulipwa malipo ya escrow kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na tanesco kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘capacity charge’ unaofanywa na kampuni ya iptl.

hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara icsid iliagiza iptl ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.

taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa iptl, ambao ni kampuni ya vip na mechmar ya nchini malaysia uliopelekea vip kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na tanesco.

kutokana na maombi hayo ya kampuni ya vip, mahakama kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na tanesco kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.

katibu na mwanasheria wa kampuni ya iptl, pap, joseph makandege alisema hawana kesi na tanesco na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.

“si kweli kwamba escrow akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya tanesco kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, kesi ya tanesco iliisha 2001, na akaunti ya escrow ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,’’alisema.

aliongeza; “vip ndio waliomba kufunguliwa kwa escrow, hivyo kusema kwamba tanesco na iptl kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,’’.

makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati pap/iptl na benki ya standard chartered ya hongkong inayodai kununua deni la kampuni ya mechmar ya malaysia.

“kesi kati ya standard chartered na iptl/pap haihusiani na tanesco na wawaache tanesco watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa watanzania na tutapambana mahakamani,’’alisema makandege kwa kujiamini.

hivyo, alisema wanaolalamika kwamba pap/iptl imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba standard chartered ni shirika la umma.

chanzo: majira

bravo kabisa kabisa. Tuikomeshe hii tabia ya kuwafanya watanzania watu wa kubebesha mizigo ya ujinga kila leo.
 
bravo kabisa kabisa. Tuikomeshe hii tabia ya kuwafanya watanzania watu wa kubebesha mizigo ya ujinga kila leo.

Kuna wanaosema kwamba fedha zilizowekwa kwenye akaunti
ya ESCROW ni za serikali na wengine wanakataa na kusema
kwamba fedha hizo kamwe si za serikali bali ni fedha za
wanahisa wa IPTL ambao ni kampuni ya Mechmar ya Malaysia
na VIP Engineering and Marketing ya Tanzania. Hoja za kila
upande zimetawala magazetini na malumbano kati na baina ya
wanasheria,wabunge na wanasiasa wengine ambao kwa
namna moja au nyingine wanarukia mambo bila kujaribu
kutafuta undani wake ili waelewe na waseme kilicho sahihi
kuliko kuongea vitu vya uongo na vyakubuni tu.
 
kaka shadow, sijasahau ahadi yako ya kumkimbiza huyu mpotoshaji Kigoma kusini 2015, tumkoseshe hicho kiropokeo akaendeshe shule yake aliyofadhiriwa na wakina MKONO,MENGI na ROSTAM.

Kuna wanaosema kwamba fedha zilizowekwa kwenye akaunti
ya ESCROW ni za serikali na wengine wanakataa na kusema
kwamba fedha hizo kamwe si za serikali bali ni fedha za
wanahisa wa IPTL ambao ni kampuni ya Mechmar ya Malaysia
na VIP Engineering and Marketing ya Tanzania. Hoja za kila
upande zimetawala magazetini na malumbano kati na baina ya
wanasheria,wabunge na wanasiasa wengine ambao kwa
namna moja au nyingine wanarukia mambo bila kujaribu
kutafuta undani wake ili waelewe na waseme kilicho sahihi
kuliko kuongea vitu vya uongo na vyakubuni tu.
 
Embu huko! usinipake tongotongo mie. Umekuwa kama jiwe uelezwe nini uelewe. mbwi mbwi mbwi mbwi!! toa uchafu wako.

KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.

Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘Capacity charge’ unaofanywa na Kampuni ya IPTL.
 
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.

“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini
 
“kesi kati ya standard chartered na iptl/pap haihusiani na tanesco na wawaache tanesco watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa watanzania na tutapambana mahakamani,’’alisema makandege kwa kujiamini

tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,fikiri kama ng'ombe atakata kamba au kutoroka zizini itakuaje? Watanzania inatubidi tuwe makini sana na viongozi wetu hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015,kuna viongozi watazuka tu na migogoro hapa na pale ili watafute jina lake kusikika kwa jamii(kick) kwa vitu vya kweli au uongo ilimradi tu asikike kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
 
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.

Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘Capacity charge’ unaofanywa na Kampuni ya IPTL.

tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,fikiri kama
ng'ombe atakata kamba au kutoroka zizini itakuaje?
Watanzania inatubidi tuwe makini sana na viongozi wetu
hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015,kuna
viongozi watazuka tu na migogoro ya hapa na pale ili watafute
jina lake kusikika kwa jamii(kick) kwa vitu vya kweli au
uongo ilimradi tu asikike kwenye vyombo vya habari na
kwenye mitandao ya kijamii.
 
Umegusa nnapopataka mkuu, na hiki ndio kinachotokea leo Kafulila kajitoa ufahamu kabisa kila siku anaibuka na dudu jipya mara CAG kastaafishwa, mara ripoti inachakachuliwa, mara kuna mpango wa kuzuia ripoti isijadiriwe bungeni na maneno mengine mengi. Hizi ni dalili kuwa Kafulila analazisha mjadala usio na maslahi kwa taifa. Nandio maana kwenye hili sakata anapigana peke yake hana sapoti kutoka kokote kule, hana sapoti ya umma, civil society zimekaa kimya hata vyama vya upinzani vimekaa kimya. Tunajua kama kungekuwa hoja yenye mashiko vyama vya upinzani visingekaa kimya lazima vingeichukua hii hoja kuelekea 2015.
 
Chamsingi ndugu yangu Kafulila wewe watake radhi tu
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania.huo ni ushauri wangu kwako la sivyo utakuja umbuka mbaya.
 
“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini

Chamsingi ndugu yangu Kafulila wewe watake radhi tu
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yako kwa watanzania.huo ni ushauri wangu kwako la
sivyo utakuja umbuka mbaya.
 
tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,fikiri kama
ng'ombe atakata kamba au kutoroka zizini itakuaje?
Watanzania inatubidi tuwe makini sana na viongozi wetu
hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015,kuna
viongozi watazuka tu na migogoro ya hapa na pale ili watafute
jina lake kusikika kwa jamii(kick) kwa vitu vya kweli au
uongo ilimradi tu asikike kwenye vyombo vya habari na
kwenye mitandao ya kijamii.

Barua hiyo, ilieleza kuwa inazitaka pande tatu hizo ikiwemo PAP, Tanzania na Kenya kukutana haraka kuona ni namna gani uzalishaji huo utaanza haraka iwezekanavyo.
Akithibitisha barua hiyo, Katibu na Mwanasheria Mkuu wa IPTL/PAP, Joseph Makandege alisema kampuni yao inaendelea kuchapa kazi na haitishiki na kauli za wanasiasa kwa kuwa wao si wanasiasa
 
IPTL yang’ara A/Mashariki
Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya
Kafulila aumbuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.
Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.
Barua ya Kenya iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Petroli, Injinia Joseph .K. Njoroge ya tarehe 19, Agosti 2014 kwenda kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sing Sethi.
 
CHANCES are that the Government of Tanzania will have to part with hundreds of billions of shillings in favour of the Standard Chartered Bank of Hong Hong (SCB-HK) following a judgment and demand note delivered by the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID), a world renowned tribunal based in the US capital of Washington, DC!

While the formal debtor in the case is the state power monopoly TanESCo (Tanzania Electric Supply Co. Ltd), the matter has all along been handled by top organs of the central government, namely the Ministry of Energy & Minerals, the Ministry of Finance, the Bank of Tanzania (BoT) and the Attorney-General's Chambers.

As it happens, all of these institutions were involved in one way or another in sanctioning the transfer of funds held in escrow at BoT – the central bank and banker to the Government – in respect of a highly controversial power purchase deal involving the now liquidated Independent Power Tanzania Ltd (IPTL).

The funds, amounting to US$122m (roughly Tsh201bn), were transfered to the account of another power firm, Pan-Africa Power Solutions (PAP), which purchased IPTL following the latter's liquidation!

Back
Top Bottom