hakuna mgao pale mkuu wanachofanya ni kusaidia taasisi mbalimbali nasio mtu binafsi kama unavyo taka wewesio tamaa, kama watu walipewa kwenye magunia kwani mimi sio mtu. Kama zipo naomba chenji nikafanye mabo ya maana maana najua hata zikirudishwa zitapitia mlango wa nyuma. We hela za radar uliziona????? Tuliskia tu zimewekwa katika elimu sekta ambayo inazidi kufa kila siku. Iptl kama kuna mgao msinisahau, full stop.
unauwakika na unacho kisema mkuu????Huyu Singh Sethi Harbinder PAP
aligawa pesa kama anafanya sending off.
hakuna mgao pale mkuu wanachofanya ni kusaidia taasisi mbalimbali nasio mtu binafsi kama unavyo taka wewe
naona mkuu unachanganya mambo hapa!!!ebu nenda kasome au pitia tena mijadala hii toka mwanzo then urudi tena maana naona kama umekalilishwa vile au uwelewa wako mdogo msanayale majina ya account ni taasisi au ni majina ya watu binafsi?
naona mkuu unachanganya mambo hapa!!!ebu nenda kasome au pitia tena mijadala hii toka mwanzo then urudi tena maana naona kama umekalilishwa vile au uwelewa wako mdogo msana
yale majina huliyo yaona wewe ni majina ya watu waliopewa pesa na vip mkuu sio iptl upo hapa???
Vip chini ya rugemalila alisha uza issa zake zamani kwa maana hiyo bwana rugemalila sio mmiliki tena wa iptl na zile pesa alizokuwa anazigawa ni zake na sio za iptl umenielewa wewe kichwa maji maana sio unatoka povu alafu ujui kitu kinacho kutoa povu
ndio maana yake mkuukwahiyo tibaijuka, maaskofu na wengine hawajapewa pesa za wizi bali ni za mtu binafsi baada ya kuuza shares zake.
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania
Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (kulia) na Meneja maswakla ya kampuni wa IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta (katikati) wakikabidhi sehemu ya bidhaa zilizonunuliwa wakati wa karamu ya chakula kwa watoto yatima wapatao 500 kutoka vituo mbali mbali Dar es Salaam na Wilaya ya Kondoa, kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak, ambao waliandaa karamu hiyo baada ya kufadhiliwa na IPTL.![]()
IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania
hacha tamaa kijana
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania
mkuu sio wafanya biashara wote!!!! na usiusemee moyo wa mtu kila kila mtu anamaamuzi yakeHela zilikuwa zina hang labda! Kwa wanaowafaham wafanyabiashara walivyo wagumu kugawa hela,kwa mara ya kwanza mfanyabiashara anamwaga hela kama pipi. Kaaaz kweli kweli.
salute kwakoDada Pendo, uwe unasoma ujumbe wako kabla ya kutuma. Unaandika makosa mengi sana.
Ila heshima mbele kwa saaana tu. Pamoja sana.
sio vibayaWe pendo kwani ni vibaya hata hao waliopewa si watanzania kama watanzania wengine nini shida
Wamewawahi tu, mgao wa Mashekhe ulikuwa unafuatia....basi mgao hadi kwa wachungaji...siojaona mashehee
pendolyimo kuna kamgao kahisa nimepata jana, unaonaje nikugawie na wewe?sio vibaya
mkuu kuwa upande opp na wewe isiwe sababu ya wewe kuona mimi nimepewa pesa au ongo ila naangalia hoja tu mkuupendolyimo kuna kamgao kahisa nimepata jana, unaonaje nikugawie na wewe?