Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Yote haya yamesemwa na kupita. Tunasubiri mengine na mengine.Nchi hii tamu sana kwakweli.
Yote haya yamesemwa na kupita. Tunasubiri mengine na mengine.Nchi hii tamu sana kwakweli.
Tehetehetehetehe! Yaelekea unaijua vema sana Songea. Mie nipo Kibulang'oma, Lizaboni jirani na TANESCO. Chabruma yupo Kata ya Lilambo na aliniPM kuwa anaishi karibu na Kambi ya Jeshi. Ila aliniambia kuwa kwa sasa makazi yake ni Dar. Wewe ni Mngoni wa wapi?

Deep Green Solution, NetGroup Solution, ANABEN, TanGold, Meremeta, TRL saga, ATCL saga, Container Terminal, EPA, Vitalu vya Uwindaji, Ujangili, Twiga Saga, Operesheni Tokomeza, ATMAS, SAMAX, Tanzanite One, Perta Diamond, Barrick Saga, Resolute Saga, Uranium Saga, $$$ Uswis Saga, Ophir Saga, Rader Saga, Vitalu vya Gesi na Mikataba ya Gesi, TAZARA sabotage, Ranch za Taifa saga, NAFCO Saga, Mabomu ya Mbagala na lamboto bongo, NSSF saga, PPF saga, MIkataba ya Dhahamu n Sinclair Saga, Richmond/Dowans/Symbion Saga, Agreco Saga, Songas Saga, IPTL n PAP Saga... Bado mijitu inakenua mijino kwa kupewa kofia, fulana na vitenge... CCM must Go!!!