IPTL haponi mtu

IPTL haponi mtu

Rugemalila, Julius Angelo director of Finance BOT na Prof Anna Tibaijuka!!! No wonder Nyerere alikuwa anawapotezea sana hawa Jamaa... Almost 50% zimeliwa na watu wa Bukoba!!! Nahisi na Patrick Rutabanzibwa nae alikatiwa huo mshiko...
 
Mwizi ni zito mkono na waingereza wake siku moja utaujua ukweli utamzarau sana zitto jamaa mla rushwa balaa hafai hata kuwepo kwenye nchi ni mwizi hasa.
Huyu huyu Zitto magamba tulikuwa tunamtetea kwa nguvu zetu zote alivyopigwa kumbo cdm,now tunamwita mwizi-CCM tunashida kweli kweli.
 
Leo hii mnamchana Zitto! ama kweli urafiki wa wachawi huwa haudumu!!!
Mwizi ni zito mkono na waingereza wake siku moja utaujua ukweli utamzarau sana zitto jamaa mla rushwa balaa hafai hata kuwepo kwenye nchi ni mwizi hasa.
 
Rugemalila, Julius Angelo director of Finance BOT na Prof Anna Tibaijuka!!! No wonder Nyerere alikuwa anawapotezea sana hawa Jamaa... Almost 50% zimeliwa na watu wa Bukoba!!! Nahisi na Patrick Rutabanzibwa nae alikatiwa huo mshiko...
Anna Tibaijuka nasikia amekiri kabisa..
 
CHAMVIGA
Bavicha ndiyo shida yenu hujui kitu juu ya hili unarukia tu.
Tangu lini CHAMVIGA akawa Bavicha? huyu ni Mwana CCM damu tatizo leniu kila anayewaambia ukweli mnamuita Bavicha, asanteni kwa sifa hio. MANI njooni muone Mpwa wetu CHAMVIGA anavyobadilikiwa na Wanazi wenziwe, usisahau kumjulisha na zumbemkuu kuwa hatimae chamviga ameokoka. Thank you
 
Last edited by a moderator:
Walio husika wote kuchota hizi pesa kwanza wazirudishe,pili wang'olewe madarakani na vyeo vyao,tatu washitakiwe,nne wafilisiwe na mwisho familia zao zitengwe na jamii.
 
wangetupwa kabisa baharinI wakaliwe na papa
 
Hivi watu kulipwa hela zao tatizo? IPTL wamezalisha umeme Tanesco wamenunuwa umemo huo na kuutumia na wameuza kwetu sisi. Kulikua na malalamishi kuwa charges wanazotozwa ni kubwa hivyo wakagoma kulipa. Tanesco walifungua kesi kuangalia upya mkataba na kesi imeeisha na Tanesco wameshindwa .

Makosa ya wao Tanesco kukubali mkataba wenye charges za juu hivyo walishindwa. Pia kulikua na mgogoro wa wana hisa kuhusu IPTL ilofanya fedha hizo zizuiwe kulipwa wenyewe hadi watapo maliza mgogoro wao. IPTL wamemaliza tofauti zao na BOT ikaamrishwa iwalipe sasa kashfa iko wapi.

.

Kama Kusoma Hujuhi basi hata Picha Huoni?

Soma tena hapa chini:-

"
Mgogoro uliosababisha fedha kuwekwa katika akaunti hiyo ya Tegeta ya BoT ulitokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kugoma kulipa gharama za uwekaji mitambo (Capacity Charge) kwa IPTL mwaka 2006 kwa vile ilibainika IPTL ilikuwa ikitoza gharama kubwa kuliko iliyopaswa.

Akaunti hiyo ya Tegeta ilianzishwa kwa sababu ya kuhifadhi fedha zote zilizopaswa kulipwa na Tanesco hadi hapo mgogoro baina ya pande hizo mbili umalizike.

Hata hivyo, Septemba mwaka jana, serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, iliagiza BoT kulipa fedha hizo kwa kampuni ya PAP mara baada ya kuridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba mgogoro baina ya wamiliki wa IPTL na Tanesco umemalizika na hivyo Benki Kuu haina sababu ya kuhifadhi fedha hizo."
 
simiyuyetu ina maana hata wafadhiri walio zuia misaada wajinga.??
ACCT iliyopitisha fedha kulipa huko nje pia imefungwa ya VIP!!
Mbona unatumika vibaya kupotosha ukweli??
Ripoti iwekwe wazi, wezi wajulikane, Vinginevyo watu waingie mitaani, kudai fedha zetu!!
 
Last edited by a moderator:
Kama Kusoma Hujuhi basi hata Picha Huoni?

Soma tena hapa chini:-

"
Mgogoro uliosababisha fedha kuwekwa katika akaunti hiyo ya Tegeta ya BoT ulitokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kugoma kulipa gharama za uwekaji mitambo (Capacity Charge) kwa IPTL mwaka 2006 kwa vile ilibainika IPTL ilikuwa ikitoza gharama kubwa kuliko iliyopaswa.

Akaunti hiyo ya Tegeta ilianzishwa kwa sababu ya kuhifadhi fedha zote zilizopaswa kulipwa na Tanesco hadi hapo mgogoro baina ya pande hizo mbili umalizike.

Hata hivyo, Septemba mwaka jana, serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, iliagiza BoT kulipa fedha hizo kwa kampuni ya PAP mara baada ya kuridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba mgogoro baina ya wamiliki wa IPTL na Tanesco umemalizika na hivyo Benki Kuu haina sababu ya kuhifadhi fedha hizo."

Sasa zogo la nini ?
 
Jamani kumbe vilaza wapo wengi kaeni mkijua IPTL ni jini lililo asisiwa na viongozi wa ccm ili watunyonye kwanza hi mitambo technology yake kutumika ni mwaka 1974 ndio mana garama zake nikubwa kuendesha
 
mwisho wa yote yaliyokwishazungumzwa huhusu fedha hizi za escow ni hiyo tr. 27 zitekapowekwa wazi taarifa za takukuru na mkaguzi mkuu. Naona kitakuwepo kilio cha Kafulila na wengine itakaposemwa hakuna hela iliyogawanwa kama yalivyo madai yao. Wote hao ni wateule wa raisi wa chama kilichopo madarakani na hawezi kwenda kinyume na matakwa ya serikali. Kitakachoonekana ni ni ukwepaji wa kulipia mapato tra na wataagizwa kulipia. Ccm na serikali yake ndio wanaozipokea na kuzisoma hizo taarifa kabla ya kufikishwa bungeni. Kwa vyovyote vile hawawezi kukubali kadhia yoyote kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Sio rahisi sana geraldkowero1 kama unavyofikiri kufunika kombe, kumbuka hivi sasa bajeti imedorora kwa zaidi ya TZS Trillion moja kwasababu tu ya hii issue, halafu swala la mgao tayari limeingia hadharani kabla hata hawajakaa sawa, kwa vyovyote vile kuna kundi litaumia ili kurejesha heshima ya serikali, sioni namna ya Muhongo, naibu wake na katibu wa wizara kupona achilia mbali ile list ya mgao.
 
PROF MUHONGO WALA ASIPEWE HIYO CHANSI YA KUONGEA MANAKE ANACHOTAKA KUTUHAMISHA TU KWENYE LENGO KUU. Hapa anajaribu kutafuta watu wa kufa nae kwakuwa ndio kawaida ilivyo mfa maji haishi kutapata.

Anataka kuwavika ubaya kina Kafulila na Zitto sifa mbaya kama hivi vijituhuma wanavyookoteza okoteza wakidhani ndio watanusurika katika unyama wao huu wanaowafanyia Watanzania maskini.

Hapa hili sakata lazima lidondoshe mbuyu na sisi WATANZANIA TWASEMA HATUKO TAYARI KUDANGANYWA TWATAKA KUONA PESA ZINARUDI NA WAHUSIKA WANAWAJIBISHWA. Fullstop.

Nasikia Muhongo kanunua Mapinga yoteee je ni kweli????:confused3::focus:
 
Naibu speaker anaharibu sana leo! anadai eti Waziri Mkuu alipelekewa progress report ya PCCB ! Kwani PCCB wanaripoti kwa PM?
....Haki kupatikana Tanzania itakuwa njozi ya mchana kweupee....
 
Back
Top Bottom