IPTL haponi mtu

IPTL haponi mtu

ukweli ni ukweli hata ukiandikwa kwenye magazeti ya udaku tatizo la wasomi wetu mnanunuliwa na kutumia elimu yenu kama sumu ya kuupotosha umma kuna siku mtajibu mbele za Mungu wakubwa halafu hovyo!

Anayewashabikia wezi ni mwizi halikadhalika tangu mwanzo IPTL ilikuja kimauzauza na gharama zake zilililalamikiwa tangu mwanzo tunahangaika na escrow badala ya kutaka tujulishwe juu ya richmond,EPA ni akina nani ?ambao ni wezi wenye haki mbele ya sheria!mtaendelea kujadili tulikoangukia badala ya tumejikwaa wapi mpaka lini Watanzania?
 
kama ingekua ishu hot haingepelekwa mwisho wa bunge.hapo hamna kitu
 
Nani aliamuru zilipwe?

Iliamriwa zilipwe kwa nani?

Nani alilipwa?
crabat
 
Last edited by a moderator:
crabat

Tulia wewe usije na propaganda zako uchwara hapa.subiri kwanza watu wasulubiwe ndio utajua kwamba walikwiba ama hawakukwiba.au na wewe ulidondoshewa mifupa nini??!!!!
 
Last edited by a moderator:
huyo mama kapewa hela na rugemalila ama iptl.
nasema hapa hamna kitu.hizi ni siasa mtaniambia

Mama Tiba hajapewa hela za IPTL bali kachangiwa hela kwa ajil ya shule anazosimamia na mmoja wa wabia wa IPTL.Tusichanganye mambo, hata huyo mmbia hausiki na hii skendo.Yeye hela aliyopewa ni ya thamani ya hisa zake alizouza.KWANZA ALIZUNGUKWA KWENYE HUO MGAO WA SEHEMU YA HELA ZAO ILIYOKUWA ESCROW ACC.
 
Simiyu yetu unasema wenzio hawajui wanakurupuka ni vema mi naomba utujuze ukweli ilitujue na hao bavicha wajue ........ila usiwe binadamu au mtu katika siasa.......My take
 
Hivi kwanini unatetea wezi? Hata kama kwa kiasi flani unanufaika na hii stystem ya mavampire lkn umezidi aisee.

Huyo jamaa hajui, kuna watu wanachangia tu kwa sbbu mada ipo mezani.Afahamu hyo Acc. Haikufunguliwa kwa agzo la mahakama ya Tz.Ajue mgogoro huu ulikuwa mahakama ya usuluhshi ya kimataifa.
 
.. Simiyu Yetu unaboaaaa sana mkuu issue zingine usingize uchama kwenye ukweli kubali? mbona kuna wana ccm wanapinga issue ya iptl
basi tunaomba wewe utueleze kiundani wakosea hao p.a.c basi wa correct
 
Last edited by a moderator:
Unajua mm nasubiri kwa hamu sana sakata hili kuna mtu aliitwa tumbili pale bungeni na mmoja ya wahusika wa kashfa hii na akasema atamkata kichwa. Sasa ikibainika kweli itakuwaje?

Na yule alietumia mpka hesabu kutusi itakuaje na mpka akaenda mbali kuamua kusema mbunge mwenzie alifeli na akataka kutoa matokeo itakuwaje? Itakuwaje siku yule mbunge alieshangilia na kusimama huku akichezacheza muziki kushangilia uteuzi wa Pinda pale bungeni maana wkat wabunge wenzie wakiwa wamekaa yy alisimama na kulipuka kwa shangwe na kuanza kucheza itakuwaje kama Pinda akihusika.

Kangi lugola napenda kumwita simba itakuwaje kama CAG asitoe report ya unqualified audit report na hata akitoa qualified audit report utawaambia wapinzni waamini vyombo ya serikali ikiwa unqualifield audit report itakula kwako. Itakuwaje yule katibu alieamua kutukana wakati yy akiwa nje ya bunge itakuwaje? Nasubiri sana ila nawasiwasi mjadala usiwe hot na mkubwa na ikiwezekna TBC hawatarusha
 
kama ingekua ishu hot haingepelekwa mwisho wa bunge.hapo hamna kitu

Wewe ni wa ajabu.Kwanza imeelezwa report haijakamilika.Pili, imepelekwa mwisho sbbu ya unyeti wake ili wahusika wapate kwanza kushiriki mijadala mingne ya miswada n.k.Itakuwa ngumu na hasara kuendelea na mijadala mingne wakati wazri mhuska au naibu wake wamehusishwa na wz.IMETUMIKA BUSARA HAPO MKUU.
 
Kulikuwa na mpango wa Serikali kupitia TANESCO kuinunua IPTL, PAP waliingiaje kati na kuichukua IPTL? Nani aliwezesha mpango huo? Zitto anaweza kutusaidia katika hili.
 
Kulikuwa na mpango wa Serikali kupitia TANESCO kuinunua IPTL, PAP waliingiaje kati na kuichukua IPTL? Nani aliwezesha mpango huo? Zitto anaweza kutusaidia katika hili.

Ni kweli mkuu.Hv hawa jamaa haya mambo wanayafanya makusudi au wanazidiwa tu akili.Haingii akilini kiongozi mwenye dhamana kuhujumu nchi yake namna hii.AU NDO NGOZI YA TEMBO HYO ANAYODAI LOWASSA?
 
Back
Top Bottom