MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Tunaweza kujitoa akili tukidhani hili suala ni la kisiasa lakini mazingira yanaonyesha kulikua na ukiukaji wa sheria juu ya kuzitoa hela pale BOT na sheria za kuhamisha umiliki wa mali, lakini pia tusubiri tujue kwani suala walipewa PCCB na CAG kufanya uchunguzi, kwa yote yatakayo jitokeza wote walio upande wa akina Kafulila na walioko upande wa IPTL wajiandae kisaikilojia