Yaani lazima uvae suruali fupi, mzuzu, au kanzu.Inasikitisha sana mkuu
Mtu unasifa zote ila kwa kuwa wewe siyo Muhammad unakosa kazi
Sasa najiuliza Tanzania inaenda wapi hii
Bora umesema mkuu makafiri tunadharaulika sana mbele ya makampuni ya ndugu zetu WaislamRafiki yangu ambaye ni muislam alinambia hiyo kitu ipo sana. Kazi ambazo ni professional zina afadhali wakristo wanaweza pata. Tatizo liko nafasi za chini ambazo hazihitaki elimu kubwa, Huko jina lako ndo linakupa kazi.
Labda vyerehanianzisheni za kwenu.
ambao hamna udini
ndo tatizo la watanzania.Labda vyerehani
mkuu yule alikuwa muislam jina ukipewa biography yake ni wale ambao dini zao zinajulikana baada ya kufrikiMweka hazina mkuu wa Ipp aliyefariki Juzi Ni ustaadh
IPP via ITV taarifa ya habariHivi nyie watu hizi tafiti za kufahamu dini za watu huwa mnafanyia wapi?!
ikija ya upande unaokuhusu unapaniki sana mkuu tuvumiliane tumalize tatizo wenzetu wanailalamikia sana IPPHakuna habari nisizo zipenda JF kama za migongano ya kidini. Hili ni bomu la akiba la wazungu ambalo wamelitegesha kwetu. Siku wakitaka kutulipua watakachofanya ni kumtengeneza mtu akaenda kilipua ama nyumba ya ibada au rasilimali ya dini yoyote halafu inaundwa mitandao na inatangazwa kwa nguvu sana kua huyo kafanya hivyo kwa kua anaichukia dini husika. Kitakachofuata ni wafuasi wa dini iliyoshambuliwa kulipiza kisasi kwa maneno na vitendo. Mungu atunusuru
Kuja kwa thread hizi, ile ya alexielias kuhusu udini kwenye kampuni ya Bakhresa na hii ya byembalilwa kuhusu udini IPP ni mifano halisi na naona ni mkakati wa kuwamisha watu kutoka kwenye ajenda flani sijui ya tarehe ngapi mwezi wa nne(japo siiungi mkono) waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, na kupitia dini mkakati utafanikiwa
haina shida mkuu tumalize hili la IPP kwanzaIssue hapa ni Azam sio mbwembwe hizo
crdb kama wewe siyo masawe kimaro au chuwa kazi hakunabalaa hapo hujaingia CRDB
pale kwa mengi wachaga utasema wapo mgombani.Kwa mengi mngesema ukabila ningewaelewa ila kwenye udini sidhani ila ukabila nauona kwa mbali
bakhresa ameajiri wakristo wahindi wazungu na waislam. hayo mengine ni majungu na chuki na wivuu.Mzee Bakhresa kama hawezi kufanya biashara nchi zenye imani tofauti ahamie Dubai.
mbona hasemi Mengbakhresa ameajiri wakristo wahindi wazungu na waislam. hayo mengine ni majungu na chuki na wivuu.
anzisha kiwanda chako na wewe uajiri wakristo watupuJamaa wanaubaguzi sana nakwambia hata Hao wasio Waislam waliojiriwa huko wanaish kwa wasiwasi sana
huna lolote wewe ni wivu tu unakusumbua. tafuta hrla zako na wewe ufungue kiwanda tena ajiri watu wa kabila lako tu.Inasikitisha sana mkuu
Mtu unasifa zote ila kwa kuwa wewe siyo Muhammad unakosa kazi
Sasa najiuliza Tanzania inaenda wapi hii
WE JAMAA MUONGO WEWE MIMI NILIFIKIRI UNASEMA IPP IMEWAPENDELEA WAISLAMU KUMBE UNASEMA KINYUME CHAKE? EMBU FUATILIA VIZURI ACHA LAWAMA ZA KIJINGA LABDA UNAONGELEA AZAM AMBAKO NDIO KUNA HIYO KITUNajua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote
Ndio hicho ninachokisema, kwenye thread kama hizi hutapata mawazo neutral! Lazima kila mtu anakuja kuvutia upande wake na mwisho wake ni kutukaniana dini zenu na viongozi wenu wa diniikija ya upande unaokuhusu unapaniki sana mkuu tuvumiliane tumalize tatizo wenzetu wanailalamikia sana IPP
Wewe uliyefatilia si uweke hiyo idadi hapa tuone hicho unachotetea.WE JAMAA MUONGO WEWE MIMI NILIFIKIRI UNASEMA IPP IMEWAPENDELEA WAISLAMU KUMBE UNASEMA KINYUME CHAKE? EMBU FUATILIA VIZURI ACHA LAWAMA ZA KIJINGA LABDA UNAONGELEA AZAM AMBAKO NDIO KUNA HIYO KITU
Ushungi akavalie nyumbani tu hamna namna. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote