IPP punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Najua hapo mnataka kuwasema wale wa kule kaskazini. Sisi wa kanda hii ya kati wala hatuna neno na mtu.
Karibuni Malinyi
 
Ndio na hili mimi nililiona kipindi cha mfungo wa ramadhani walitoa ofa kwa watumiaji wa ving'amuzi vya azam miezi mitatu nikasubiri kipindi cha xmass nione pia kimya tu nakuja hawa jamaa wanahudumia waisilamu hii nchi kumbe
Jamaa wanaubaguzi sana nakwambia hata Hao wasio Waislam waliojiriwa huko wanaish kwa wasiwasi sana
 

Ni athari za kilevi kiitwacho "Mfumo kristo"! walishazoeshwa na wanataka status quo iendelee kutamalaki.
 
Mwambie bakhresa apunguze na
Cc tulegeze kamba
 
Kweli kabisa mkuu
Yan ukienda pale azam wanakagua Jina lako kwanza kama la kikafiri wanakujibu Hakuna kazi

Hilo sina hakika nazo maana mimj ni mwislam na nimewah kukosa kaz azam...lakn kama haitosh Azam tv kuna wakristu wengi tu kama vile Charles Hilary, Ivona Kamuntu, Raymond Nyamwihula, Jof lea, na wengine wengi tu sasa sijui ww ulienda Azam gan na je ulikua na sifa za kupata hyo kaz?
 
Waende zanzibar
 
Kila mtu akiamua atoe lake la rohoni hakuna atakaebaki salama , cha msingi ni kuvumiliana tu na maisha yaendelee , ukisema kampuni hii waislamu wengi , ni lazima ukumbuke kuna kampuni nyingine ina Wakristo wengi , ukisema sekta hii wamejaa kabila A , kuna sehemu utakuta wamejaa kabila B n.k , na hizi changamoto zinaanzia kwenye Private sector mpaka Public sector , lililobaki ni kuvumiliana tu , kila mtu anajua kama kaajiriwa sehemu anajua ameajiriwa kwa vigwzo vipi , kama ni competence yake , amechukuliwa kwasababu ya kabila lake , au dini yake hilo ni juu yake cha msingi aitetee nafasi aliyopewa , vinginevyo umma utamnyooshea kidole na ataonekana kama alipo anastahili au la , shukrani!
 
Mkuu wadau wanasema ajira pale Ni 99% kwa Waislam na wasio Waislam Ni 1%

Nafkiri Hao uliowataja ndio wanawakilisha 1%
 
Hahahaha naona upande wa pili nao wameamua na wao warushe kombora!
 
Naona una jaribu kumsaidia mzee bakresa baada ya watu kulalamika kuwa kaajiri Waislam 99%kwenye kampun yake

Mwambieni tu bakresa hata makafiri Ni wateja wake
Taratibuuu mnafikishwa mlipo kuwa hampajui mwisho wake mtaona mapanga yameenea yanaanza kugawiwa kanisani hapo sasa sijui nani atakaye waamua na udini na ukabila
 
Rafiki yangu ambaye ni muislam alinambia hiyo kitu ipo sana. Kazi ambazo ni professional zina afadhali wakristo wanaweza pata. Tatizo liko nafasi za chini ambazo hazihitaki elimu kubwa, Huko jina lako ndo linakupa kazi.
 
Kumbe mnazungumzia Waislamu na Wakristo lakini hamuzungumzii WAUMINI wa Kiislamu na Kikirsto........
 
mkuu umeongea ukweli ila crdb na IPP wamezid
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…