Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
hapa hatuzungumzii ipad wala iphone wala ipod. Tunazungumzia ipotty poti la kwanza la touch screen.
Wametengeneza hivi maana mtoto anapoteza mda kukaa kwenye poti hali ya kuwa hajifunzi kitu. Unaweza ona kitu cha kawaida lakini mwenye mtoto anaelewa hili
if i get time ntawaandikia mengi yamejiri ces2013
bei ni dola 39 kuanzia march litapatikana amazon