Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa nimeiangalia video yake YOUTUBE!!. . .lakini imenishinda kui upload humu!!huyu jamaa ni mchochezi vibaya mno!!. . . achunguzwe huyu mtu
 
Kweli kabisa nimeiangalia video yake YOUTUBE!!. . .lakini imenishinda kui upload humu!!huyu jamaa ni mchochezi vibaya mno!!. . . achunguzwe huyu mtu

hii cd imetazamwa na maelfu ya viongozi wa kikristo. muda wote huo walikuwa wanasubiri waone serikali hii inasimamia haki au ni ya kidini kama ilivyosheheni watu wa dini moja.
 
Serioulsy, huyu LAZIMA achukuliwe hatua. Asiachwe hivihivi. Watu hawaelewi maan ya freedom of speech. Hii sio freedom of speech ila ni hate preaching...
 
By the way, hivi huyu ni mwanadamu mwenzetu? hivi hapo alikuwa anamhutubia nani?
 
Nadhani leo Ustaadh Ilunga kafurahi mno. Fundisho lake limetekelezwa kwa vitendo. Na wanapoacha kumhoji tuwaeleweje?
 
Said Mwema kamata mtu huyu na dvd zake zote zichomwe moto
 
Nimepiga kelele Tangu mchana ...............mods wakawa wanaiunganisha na threads nyingine............lakini ukweli ndo huo hafai kabisa huyu bwana
 
Serioulsy, huyu LAZIMA achukuliwe hatua. Asiachwe hivihivi. Watu hawaelewi maan ya freedom of speech. Hii sio freedom of speech ila ni hate preaching...
Ukiambiwa serikali dhaifu unakuja juu.

Hii ilisharipotiwa lakini hakuna hatua iliyochukuliwa.

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Kazi ya UGAIDi ni kuterrorize binadamu wenzao

tunapaswa kutambua na kukubali kuwa dunia ya leo kumeibuka vikundi vya MAGAIDI wanaotumia mwavuli wa dini ya UISLAMU
 
UGAIDI ndio JINA zuri la kuwapa wauaji hao kuliko kutumia jina la Waislamu kuna wengine hawahusiki japo ni wa imani hiyo.

Tukiwapa jina la MAGAIDI itarahisha kazi ya kupambana nao kwa jina hilo badala ya dini yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom