Ni vigumu kumuweka kuwa mtuhumiwa, ila kisheria anaweza akawa third party to commission of an offense! Sasa inakuwa ngumu kumchukua direct kama mhusika japo hapo baadae anaweza akawa as a witness who inspired others to commit an offense! Inatia hasira kuwa sehemu ya dini inashabikia tena kwa mahubiri kwamba kuuwa maaskofu au mapadre ni thawabu! Hakika tunakoelekea sasa makaburi yetu yatanyooshewa mikono na vizazi vijavyo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums