nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 901
- 426
ndugu zangu ninacho amini ni kwamba ukristo na uislamu ni ajali tunazokutana nazo baada ya kufika hapa duniani (kuzaliwa) zisitugombanishe kwani hazina maana kabisa ninao marafiki waislam sijaona wakinibagua na wala sitowabagua kwa dini zao, wala hakuna uhusiano kati ya Mungu na hizi dini tuwe makini saaaana, na kama Mungu katika hizi imani mbili tofauti anafundisha ubaguzi wa aina yeyote ili miongono mwetu huyo mungu atakua dhaifu sana,
kwa mfano Mungu Atakaye kataza mtu wa imani moja asimuoe mtu wa imani nyingine, inapaswa tumkatae wote kwa pamoja kwani atakua hataki kutimiza ile dhana ya kuongezeka hapa duniani, kwa kweli nimeanza kumuogopa Mungu wa kigeni (a foreign God), huyu Mungu wa kigeni alitumika kipindi cha ukoloni na sasa anatumika tena kutugawa, tufanye kazi kwa bidii hakika tuta muona Mungu katika kazi kuliko huku kwenye vitabu vya kibaguzi, ahsanteni saana tuijenge Tanzania