THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,337
- 4,848
Habari wanajukwaa.
Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi.
Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au vitabu...
Na katika Nchi yetu hadi saiv Marais wetu watatu waliopita walishaandika vitabu ambavyo tunavisoma na kuona maono yao na confession zao nyingi.
Nyerere kaandika ving sana, Mwinyi kaandika na Mkapa pia I think hata JK atakua yupo anaandika.
Magufuli hakuandika because alipatwa mauti kabla ya tenure yake kuisha...the next will be SAMIA.
Hapo ndipo nawaza nasema siku akiandika tegemeeni atajilaumu kwa haya yanayoendelea ya kupotea watu kukandamiza upinzani na atasema alifanya kosa sana.
Na hakuna kitu tutamfanya...itabaki kusema Rais mstaafu kakiri kumbe inaonyesha alikua anaelewa the same vile hua tunasema leo ya waliopita baada ya kufanya Confession zao kwenye vitabu na tunawaonaga wamaana sana kumbe upuuzi tu.
Ijumaa Njema