Ipo siku mtu ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na Wageni na atashinda!

Sii lazima kutumia Wageni physically, ile tuu kutumia mashine zao za BVR kujiandikisha inatosha, sasa maadam tuna vitambulisho vya Taifa, na Passports zenye biometric data, hata Uchaguzi Mkuu wetu tunaweza kuuboresha zaidi kwa kupiga kura electronically, kila mwenye kitambulisho cha Taifa na Passport ya Tanzania, apige kura popote alipo, Balozi zetu zote zitumike kupigia kura kwa Watanzania tunatakiwa ughaibuni.
Hivyo haki ya kupiga kura inakuwa kwa wote.
P
Technology zipo, hata hapa Tanzania tuna kampuni zinaweza kufanya. But CCM hawawezi kuruhusu hayo mambo. Wanajua, kushindana kwa haki hawataweza hata kidogo, ndio maana vigingi vingi, mara hakuna maandamano, mara hakuna mikutano. Bila support ya Dola, CCM ni wepesi
 
Kwa msingi huu mahakama imeondoa haki na fursa ya makada wa CCM kuwa wakurugenzi simply because wanahisiwa kuja kuipendelea kwenye uchaguzi...
Kwa muktadha huu huruhusiwi kuwa DED kwa kuwa uliwahi kuwa kada wa CCM?Hizi ni argument za mfa maji.

Nani sasa atakuwa na sifa ya kusimamia uchaguzi iwapo utataka maafisa uchaguzi wawe ni kama mabikira wa kisiasa?Unapofikiria jibu la swali langu utaelewa kwa nini kuna siku kichaa mmoja ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na aliens.

Hivi kwa sasa kuna DED yoyote anayeingia kazini na bendera ya CCM?

Unamtazama DED katika aspect ya ukada kwenye uchaguzi tu au hata katika majukumu anayotekeleza sasa?

Dhambi hii ya ubaguzi inayotaka kutengenezwa haitaishia hapo tu....maana tutaanza kuangalia dini na kabila za maafisa uchaguzi tutakapo maliza hili.

Sijui kwanini unang'ang'ana na hii hoja. Hawa Ma DED ni waathirika wa hukumu kwa sababu ndio wasimamizi kwa hivi sasa. Lakini hii hukumu ni pana zaidi. Imeweka precedent na kukazia kwamba usimamizi unapaswa kusimamiwa na watu wasio wanachama vya vyama vya siasa. Simple, sasa kama tume ikateua walimu wa sekondari au primary, the point remains, wasiwe wanachama wa vyama vya siasa.

Msingi wa maamuzi ya mahakama ni katiba, ambayo inasema wazi kabisa; wanachama wa vyama(keyword vyama sio CCM i.e hata CHADEMA na ACT) wasisimamie uchaguzi ingawa wanaruhusiwa kupiga kura. This time, walioshitaki wamepeleka hoja ya Ma DED, lakini msingi wa hukumu hii ni kwamba; uchaguzi ukisimamiwa na mtu yoyote ambaye ni mwanachama wa chama fulani, utakuwa batili. Sio ma DED peke yao; it means hata wewe ukishiriki uchaguzi na ukagundua kwamba aliyesimamia ni CHADEMA, kwa hukumu hii utaruhusiwa kwenda mahakamani kuomba uchaguzi huo utangazwe kuwa ni batili.

Sijui kwa nini mnapambana na katiba mliyoandika wenyewe, subirini uamuzi wa mahakama ya rufaa muone bahati yenu. Lakini hili la wanachama wa vyama kusimamia uchaguzi ni kinyume cha katiba
 
Katiba inamnyima fursa msimamizi wa Uchaguzi kuwa mwanachama wa chama chochote?Kama ni hivyo je inamnyima msimamizi sifa ya kuchagua na kuchaguliwa?Tusiisome katiba nusunusu au kwa kurukaruka.

Katiba inakataza watu wa makundi mengi tu kutajiunga na vyama vya siasa; tukianza na wanajeshi, mahakimu etc

Kupiga kura wanaruhusiwa
Itakuwa ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu kwamba kila mmoja wao atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
 
Mkurugenzi ni msimamizi(kwa jina) na mtangazaji tu katika uchaguzi ...wapo maafisa uchaguzi ambao mara nyingi ni maafisa utumishi je nao ni makada wa CCM?
Katika level ya kata na mitaa nani anatoaga matokeo?Nao ni makada wa CCM?
anae tangaza mshindi ni nani!?? mara ngapi hawa makada wanatangaza matokeo feki!?? acha porojo, ukishakuwa na vyama vingin lazma kuwe na fair grounds kwa wote, huwezi weka msimamizi wa nchechemee afu atangaze cdm kashinda wakati bosi wake kashasema hataki hilo.. mmeyataka wenyewe...
 
Kwa msingi huu mahakama imeondoa haki na fursa ya makada wa CCM kuwa wakurugenzi simply because wanahisiwa kuja kuipendelea kwenye uchaguzi...
Kwa muktadha huu huruhusiwi kuwa DED kwa kuwa uliwahi kuwa kada wa CCM?Hizi ni argument za mfa maji.

Nani sasa atakuwa na sifa ya kusimamia uchaguzi iwapo utataka maafisa uchaguzi wawe ni kama mabikira wa kisiasa?Unapofikiria jibu la swali langu utaelewa kwa nini kuna siku kichaa mmoja ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na aliens.

Hivi kwa sasa kuna DED yoyote anayeingia kazini na bendera ya CCM?

Unamtazama DED katika aspect ya ukada kwenye uchaguzi tu au hata katika majukumu anayotekeleza sasa?

Dhambi hii ya ubaguzi inayotaka kutengenezwa haitaishia hapo tu....maana tutaanza kuangalia dini na kabila za maafisa uchaguzi tutakapo maliza hili.
When you build your arguments try to be realistic and practical, imeandikwa wapi kuwa uchaguzi usiposimamiwa na wakurungenzi hauwezi kufanyika? Wewe hujui kama kuna sheria inawakataza civil servants kuwa wanachachama wa chama chochote cha siasa? Na hujui as a civil servant ukienda gombea ubunge ukishapitishwa na chama chako ni sharti uache kazi bila kujali utashinda au utashindwa?
I would advise you, if you want to be objective in your arguments, go and read what is stipulated for civil servants or else we will irrationally be wasting our precious time to discuss the obvious.
I always don’t like arguments based on sweeping stalemates with no basic foundation.
 
Back
Top Bottom