Ipo siku DSTV inaweza kushindwa kupata haki za EPL?

Kila kitu na uwezo wake
Usipende kuiga kunya kwa tembo
Hata mahotel yana zidiana viwango
 
Na sky ndio wenye rights za epl km cjakosea
Hujakosea. Kwa sub saharan Africa, DSTV ndio walionunua haki za kurusha matangazo ya EPL. Kwa middle East na North Africa wamewapa BeIn sports.
gharama yake sh. ngapi kwa mwezi?
Ni around 219,000/- shilingi, kwa kifurushi cha premium. Cha chini kabisa, ambacho hakina mpira wala channel nzuri nzuri ni 23,500/-
 
Kwani lazima utumie DSTV kwa ajili ya EPL?kuna njia nyingi tu unaweza kuona EPL bila hata kulipia,kikubwa unatakiwa uwe na smart TV tu basi na internet ya kueleweka.
kwa akiri yako unafikiri kila mtu anaishi dar penye internate ya kueleweka? hata ss tulio mashamban tunataka kuona epl
 
Una haki ya kulalamika ndugu. Hata ukiwa shamba, kuna namna unaweza kuona EPL bila hata kulipia shilingi, all you need is the "RIGHT GEAR". Inawezekana kabisa
 
Jipange tu vizuri, kama wadau walivyosema right gear, computer au smart tv, hizo gharama za DSTV utazisahau, huu mimi mwaka wa sita sina mpango wa DSTV namalizana na bundles tu kwenye kila kitu.
 
Hujakosea. Kwa sub saharan Africa, DSTV ndio walionunua haki za kurusha matangazo ya EPL. Kwa middle East na North Africa wamewapa BeIn sports.

Ni around 219,000/- shilingi, kwa kifurushi cha premium. Cha chini kabisa, ambacho hakina mpira wala channel nzuri nzuri ni 23,500/-
Laki mbili kuminatisa elfu uwhuuuuu. huu si mtaji wa mama ntiliye?
 
Una haki ya kulalamika ndugu. Hata ukiwa shamba, kuna namna unaweza kuona EPL bila hata kulipia shilingi, all you need is the "RIGHT GEAR". Inawezekana kabisa
hii RIGHT GEAR ikoje mkuu? tuwleweshe bac
 
Swali zuri. Kuna decoders zinauzwa kariakoo (nadhani hata mikoani) ambazo zinatumia dish kubwa. Ukifunga hizi unaweza kuona ligi zote kubwa za Ulaya, hulipii kitu. Hizi ni tofauti na zile nyingine (dongle) ambazo zilikuwa zinatumika kuiba masafa ya makaburu, hizi ninazoongelea hapa zinadaka channels za middle East. Ni maarufu sana kwa sasa, na bei yake ina range kati ya 120,000 na 200,000 kutegemea aina.
 
Toka ninunue DSTV nalipia kifurushi cha chini kabisa, siwezi kulipia hivyo vya pesa nyingi. Hiyo laki 2 ni bora ninunue bando ya internet ya mwezi, napata GB kibao kwa ajili ya streaming na chenji ya kutosha ya kulia bata inabaki.
Ambaye uko kijijini kamata laini ya halotel, hutajutia.
 
Laki mbili kuminatisa elfu uwhuuuuu. huu si mtaji wa mama ntiliye?
Ndo kinachotukwaza wengi kulipia hiyo amount, hasa ukizingatia kwamba muda mwingi tunakimbizana na vibarua, hata muda wa kucheki mechi za mchana ni ngumu kidogo, labda zile za usiku. 219,000/- kwa mwezi, kibongo bongo ni mshahara wa kima cha chini
 
Ligi ya uingereza ni very popular sanaa. pia michuano hii mitam mnooo. wapewe hata azam au startimes aise, dstv masikin hatuiwezi
Hapo ndipo tutofautishe popularity na uhalisia wa mambo japo ni ngumu lakini katika zama tunazoelekea itawezekana.
Mfano unanunua kuku aliyekaa kwenye fridge mwezi KFC kwa sh. 25,000/- wakati kibanda cha jirani aliye fresh anauzwa 8,000/-, kisa eti taa za pale zinawaka vizuri au hata saa nyingine unanunua take away na kumlia mezani kwako mradi kesho majirani waone mifuko kwenye jalala. Walioendelea wameshaanza kuona haya.
 
🙂🙂🙂🙂 umenena mkuu
 
Ligi ya uingereza ni very popular sanaa. pia michuano hii mitam mnooo. wapewe hata azam au startimes aise, dstv masikin hatuiwezi
Mkuu ,iv uhai TV bado haijaanza kurusha matangazo?
 
Hapo ndipo tutofautishe popularity na uhalisia wa mambo japo ni ngumu lakini katika zama tunazoelekea itawezekana.
Mfano unanunua kuku aliyekaa kwenye fridge mwezi KFC kwa sh. 25,000/- wakati kibanda cha jirani aliye fresh anauzwa 8,000/-, kisa eti taa za pale zinawaka vizuri au hata saa nyingine unanunua take away na kumlia mezani kwako mradi kesho majirani waone mifuko kwenye jalala. Walioendelea wameshaanza kuona haya.
hujaeleweka bado
 
Mkuu ,iv uhai TV bado haijaanza kurusha matangazo?
Wanarusha kwa majaribio. Ila sidhani kama kmaburu ataruhusu warushe EPL, kwa sababu haki zote kanunua mkaburu
 
Back
Top Bottom