rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Huyu mkoloni mweusi DSTV ipo siku anaweza kushindwa kupata hakimiliki za kurusha michuano ya Epl katika nchi zilizo chini ya jangwa la sahara? maana tumechoka na hivi vifurushi vya bei mbayaaaa huku wengi tukiwa makapuku tu.
Je king'amzi gani kinaweza kuchuana na dstv katika kupata haki za kurusha matangazo ya Epl?
Tumechoka bana na Dstv!
Je king'amzi gani kinaweza kuchuana na dstv katika kupata haki za kurusha matangazo ya Epl?
Tumechoka bana na Dstv!