Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Mtu mpumbavu akili zake anawaza kuabudiwa kwa kujiona mungu mtu,anafikiria kunyanyasa watu na hata ikibidi kuua kabisa.

Stupid as stupid does.
Mamlaka ya Rais lazima kuheshimiwa

Baada ya Rais , hakupaswi kuwa na kauli nyingine

Atakuwa mfano
 
Mahakama zipi, hizihizi zinazotumiwa na hao wezi wa kura? Mahakama ziko Kenya boss sio huu uchafu hapa. Kama mwanasheria mkuu wa serekali anashangaa watu kwenda kwa Makonda kushitaki, na huko kwenye vyombo vya Sheria Kuna watu wanavaa masuti na kulipwa, hawajui chochote kinachoendelea kwenye jamii, hapo kuna mahakama?

Ndio maana wazungu wanapeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa, ila wangekosea watumie hizi mahakama za kichovu wangeshindwa Kila kesi.

Sawa, Hamia kenya.
 
Nasema tena hakuna anaemtaka he is not smart and not the only one . Tuna watanzania mil 60 , who the hell is he?

Ishu ni afuate taratibu za utumishi na miiko yake

Rais ndio mwenye kauli yamwisho

Baada Rais , hakutakiwi kuwa na kauli yoyote
Mwenye kauli ya mwisho ni Mungu tu, hao wengine wote wanajibiwa, wanapingwa na kuhojiwa kama wakienda nje ya mstari. Kila binadamu ana uhuru wake asili kutoka kwa Mungu na hakuna mwenye mamlaka ya kuupoka isipokuwa Mungu mwenyewe, nyie wajazeni kibri viongozi wenu then Mungu atawapa somo jingine.
 
We ni mjinga na mzigo kwa taifa. Watu aina yako ndo wanafanya watu weusi tuonekane binadamu toleo la mwisho! Kwamba Rais akipotosha hapaswi kupingwa!? Rais siyo Mungu, ana mapungufu na anakosea kama biandamu wengine so anapokosea lazima aambiwe na anapopotosha lazima ajibiwe na ndo maana ya demokrasia hiyo. Watu kama wewe bado mna chembechembe za nyani so tafuta pori litalokufaa ukaishi na madikteta wenzio huko.

Rais sio mtu, Rais ni taasisi , taasisi ni mamlaka na mamlaka hayapotoshi.

Stupid as stupid does
 
Mwenye kauli ya mwisho ni Mungu tu, hao wengine wote wanajibiwa, wanapingwa na kuhojiwa kama wakienda nje ya mstari. Kila binadamu ana uhuru wake asili kutoka kwa Mungu na hakuna mwenye mamlaka ya kuupoka isipokuwa Mungu mwenyewe, nyie wajazeni kibri viongozi wenu then Mungu atawapa somo jingine.

Mungu gani ? Somo gani?

Kifo ni uwajibikaji, hata wewe utawajibika, ni suala la muda , kitakugongea mlango kama sio leo ni Kesho

Hivyo, usitumie kifo kama ishara ya adhabu
 
We ni mjinga na mzigo kwa taifa. Watu aina yako ndo wanafanya watu weusi tuonekane binadamu toleo la mwisho! Kwamba Rais akipotosha hapaswi kupingwa!? Rais siyo Mungu, ana mapungufu na anakosea kama biandamu wengine so anapokosea lazima aambiwe na anapopotosha lazima ajibiwe na ndo maana ya demokrasia hiyo. Watu kama wewe bado mna chembechembe za nyani so tafuta pori litalokufaa ukaishi na madikteta wenzio huko.

Hata Putin ni Toleo la
Mwisho
 
Nilijua tu,

Igizo la masai lililenga kuficha moto wa kifuu, ulioshika Kasi.

Muungano unatikiswa.

Tusubiri.
 
Nilijua tu,

Igizo la masai lililenga kuficha moto wa kifuu, ulioshika Kasi.

Muungano unatikiswa.

Tusubiri.

Hakuna anaeweza kutikisa muungano

Walishindwq wengi na hakuna atakayeweza

We are here to stay and we are meant to be
 
Nasema tena hakuna anaemtaka he is not smart and not the only one . Tuna watanzania mil 60 , who the hell is he?

Ishu ni afuate taratibu za utumishi na miiko yake

Rais ndio mwenye kauli yamwisho

Baada Rais , hakutakiwi kuwa na kauli yoyote
Viongozi wetu wanayataka wenyewe wanafikiri akina Kagame, Museveni, Putin, Kim jong Un wajinga?, sisi hatujafika hiyo level ya democracy
 
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Kwa msiozoea utawala wa sheria mnapata taabu sana sana.

Mkishakufa kwa presha za kupanda tunawazika pale kisutu.
 
Back
Top Bottom