Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Acha uduwanzi ww, afuate ili iweje? Amegoma kuwa mtumwa wa ajira ww. Kama ww umeamua kuwa mtumwa wa ajira usilazimishe Kila mtu awe mtumwa kama ww.

Nasema tena hakuna anaemtaka he is not smart and not the only one . Tuna watanzania mil 60 , who the hell is he?

Ishu ni afuate taratibu za utumishi na miiko yake

Rais ndio mwenye kauli yamwisho

Baada Rais , hakutakiwi kuwa na kauli yoyote
 
Nasema tena hakuna anaemtaka he is not smart and not the only one . Tuna watanzania mil 60 , who the hell is he?

Ishu ni afuate taratibu za utumishi na miiko yake

Rais ndio mwenye kauli yamwisho

Baada Rais , hakutakiwi kuwa na kauli yoyote

Achana na maneno ya kiingereza yatakuaibisha. Who the hell is he, ni who the hell he is.

Rais anayeingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani kwako ndio unamuona Mungu! Sio Kila mtu anaabudu sanamu boss.
 
Achana na maneno ya kiingereza yatakuaibisha. Who the hell is he, ni who the hell he is.

Rais anayeingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani kwako ndio unamuona Mungu! Sio Kila mtu anaabudu sanamu boss.

Unaweza kuleta ushahidi wa kuiba kura ?
 
Kwani Dr. Mwinyi ni nani hadi asijibiwe??

After all Dr. Mwinyi siyo mzanzibari, 2025 hatoboi hata kwa bunduki.

Dr Mwinyi ni Mzanzibar na anafanya vyema

Akili zenu wa africa ni mental slavery ..,… mwinyi ni wa ZNZ, mengine ni street words
 
Unauliza hirizi Tanga? Wizi wa kura ushahidi wake Wala sio wa kutafuta. Endeleeni kupora chaguzi za nchi, ila iko siku yatatokea machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, ndio hivi viingereza uchwara vitafikia mwisho.

Tungekupeleka mahakamani ukatoe ushahidi Ambao can be checked and verified by anyone Would you ?

Au unaongea maneno ya mtaani
 
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Kwani kuhoji na kukosoa hotuba ya rais ni uhaini?
 
Mtu mpumbavu akili zake anawaza kuabudiwa kwa kujiona mungu mtu,anafikiria kunyanyasa watu na hata ikibidi kuua kabisa.
 
Tungekupeleka mahakamani ukatoe ushahidi Ambao can be checked and verified by anyone Would you ?

Au unaongea maneno ya mtaani

Mahakama zipi, hizihizi zinazotumiwa na hao wezi wa kura? Mahakama ziko Kenya boss sio huu uchafu hapa. Kama mwanasheria mkuu wa serekali anashangaa watu kwenda kwa Makonda kushitaki, na huko kwenye vyombo vya Sheria Kuna watu wanavaa masuti na kulipwa, hawajui chochote kinachoendelea kwenye jamii, hapo kuna mahakama?

Ndio maana wazungu wanapeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa, ila wangekosea watumie hizi mahakama za kichovu wangeshindwa Kila kesi.
 
Back
Top Bottom