Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Duh...!.
P
 
Rais sio mtu, Rais ni taasisi , taasisi ni mamlaka na mamlaka hayapotoshi.

Stupid as stupid does

Peleka uduwanzi mbali. Usitake kufundisha wanaume uoga. Kama unamsujudia rais msujidie kimpango wako. Taasisi isingefanya upuuzi wa kulazimisha mtu asiyetaka kujikomba.
 
U

📝Ujinga ni mzigo!
 
Msitishe watu nyie Chawa , sasa kwa Taarifa yako wako mawaziri wengine kadhaa wanajiuzulu hivi punde huko Zanzibar
Wacha kudandia yale usiyoyajua.
Zanzibar sio Hai!
Wewe endelea na uchawa kwa wasaka na walilia vyeo wenu chaggadema
 
Peleka uduwanzi mbali. Usitake kufundisha wanaume uoga. Kama unamsujudia rais msujidie kimpango wako. Taasisi isingefanya upuuzi wa kulazimisha mtu asiyetaka kujikomba.

Punguza hasira

Nchi inatakiwa kuwa na amani

Taasisi ya rais iogopwe na kuheshimiwa kwa aman ya wengi

Umeelewa KIJANA
 
Urais unaopatikana kwa kufanya mauji na kupora uchaguzi unataka uogopwe na nani?
 
Nasema tena hakuna anaemtaka he is not smart and not the only one . Tuna watanzania mil 60 , who the hell is he?

Ishu ni afuate taratibu za utumishi na miiko yake

Rais ndio mwenye kauli yamwisho

Baada Rais , hakutakiwi kuwa na kauli yoyote
Hiyo ndio athari ya uhuru uliopitiliza
 
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Acha UNAA kama sio UPASHKUNA !!! Usiwe kama SHANGINGI la N-E-C !!!!
 
Teuzi ya nini nipo zangu ughaibuni

Siziwezi siasa za TZ
Sio huziwezi bali huna uwezo huo.

Wewe uko Ughaibuni ubatuletea Uchochezi kwenye Taifa letu sisi wazalendo?

Dr Hussein Mwinyi ni Mtu wa Maana mwenye ustarabu wake hawezi kuwaza kama wewe
 
Back
Top Bottom