Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Mawasiliano yake ya miezi sita nyuma yadukuliwe, ili kupata mwangaza sahihi.
 
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Tuwe watu wa kukubali challenge ili tupate maendeleo,tusipange kuua watu kwamba ni jambo la kushabikia ni upumbavu tu kama upumbavu mwingine.kila mtu atakufa mara moja tu tuache uhai wa watu kama zawadi kutoka kwa MUNGU.
 
Huyu mtu ameshangaza wengi sana kwa kutokuwa na adabu! Sijui anajikuta nani mbele ya kiti cha uRais!!
 
Back
Top Bottom