Hivi nane nane ni nini hasa?
Mkuu mimi nilijua saba saba ni siku kuuu ya wakulima, kumbe na hii pia ni ya wakulimakwahiyo hicho kidude kinalima, kinapalilia au... maana ni maonyesho ya wakulima
Inaruka?
Inapaa:A S wink::A S wink::A S wink:
Mkuu mimi nilijua saba saba ni siku kuuu ya wakulima, kumbe na hii pia ni ya wakulima
Nini tofauti ya kuruka na kupaa?