Thomas Laiser
Member
- Nov 9, 2016
- 64
- 124
Kutokana na zoezi la kama-kamata linaloendelea nchini likiwalenga watu mbalimbali wakiwemo wote walio katika mnyororo wa madawa ya kulevya, wanasiasa wa upinzani na karibuni watakaokutwa na viroba (mara amri ya kupiga marufuku itakapoanza), nashauri ni wakati muafaka sasa wa kuongeza magereza nchini ili yaweze kupokea wageni wengi wa dola.