Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

I THINK ITS BETTER TO SPECIFIC i.e BEST IN WHICH PROGRAM COZ ITS UNUSUAL FOR MOST OF OUR UNIVERSITIES TO GOOD IN ALL PROGRAMS,
 
Open university ndio chuo pekee bora tanzania kwani kinampa fursa mwanafunzi ya kusoma hukuakiwa anatumia ujuzi huo endapo yupo kazini na kama hayupo kazini basi anapata fursa ya kusoma huku akipambana kutafuta kujiajiri au kuajiriwa,

najua mtabisha lkn habari ndiyo hiyo,siku hizi nchi zilizo endelea watu wengi hupenda kusoma huku akiwa anafanya kazi
 
inategemea na facult unayotaka, kwa health
1.KCMC
2.CUHAS-Bugando
3.MUHAS
4.Kairuki
5.IMTU
 
wataongea mengi lakn Udsm namba 1 tz and EA***sua***mzumbe***muhas***bugando*** UDSM ndoo mama wa vyuo bora tz and. EA
 
Back
Top Bottom