IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.
 
Hii simu mkuu inasimamia sh ngapi sasa hivi, ni kweli nimeona comparison yake inafanywa na samsung s9+
Kama utaagiza toka nje version ya 128Gb unaweza ipata kwa 2,065,195.64 TZS ikiwa na option ya Free Shipping (rates zinaweza kuwa tofauti).

Ya 64Gb utaweza ipata kwa 1,696,263.34 TZS ikijumuisha shipping charges. Na hapo kote hujaweka cost ya customs na TRA.

Ila kuna siku niliiulizia kwa Benson Arusha nkaambiwa 2M na point kadhaa. So it's a fair market price.
Screenshot_2018-09-20-06-57-04-581_com.ebay.mobile.jpeg
Screenshot_2018-09-20-06-54-08-451_com.ebay.mobile.jpeg
 
in fact, at 41 megapixels, the 808 and the Lumia 1020 still hold the record for the highest resolution image sensor used in a smartphone
Megapixels sio kila kitu kwenye kamera ya simu mkuu. Leo hii tunaangalia ubunifu/teknolojia iliyotumika kwenye camera unit nzima.
Mfano kama P20 Pro ilivyo'intergrate AI kwenye photo processing na kutumia Leica tech.
 
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.

Mie napendelea reviews rankings za DxOMark - The Reference for Image Quality

Na kulingana na vipimo vyao, simu yenye camera bora kabisa ni Huawei P20 Pro..

Kwa taarifa zaidi bonyeza Mobile Reviews - DxOMark
 
Kwa sasa hivi ni Huawei P20 Pro tu. Ingia YouTube cheki ubora wa picha zake na teknolojia iliyotumika.
Kama ningekua nasahihisha mitihan jib hili nngekupa 98% sbu tu hatujatunga wote mtihan zile mbili nazihfadhi.. Naiman ktk soko bora la simu za Huawei ktk P20pro wameua kbsa kila kitu mpk kuifaya simu iliyouzika zaid baran ulaya 2018...
 
Hahaha shukrani mkuu. Hata bila kuangalia rankings za DxO nilijua fika kwa sasa hivi hakuna simu ina kamera yenye tech kali ka P20 Pro.
 
Back
Top Bottom