Ipi simu kali kati ya Oppo vs vivo

Wadau mlio na experience ya kutumia simu toka ktk izi chapa 2 ni ipi Kali kuliko mwenzie
Watoto wa baba mmoja, sema nadhani oppo kali zaidi ila ingekuwa vzuri ungeweka model kabisa, vivo nliona boxing therapy anasema vivo latest ina camera moja ya kupga pcha gizani like no any other phone on the market
 
Ni simu moja majina mawili tofauti karibia oppo zote zina pacha wake anaitwa Vivo kasoro tu model chache. Brand zote mmiliki mmoja BBK.

Pia vyema ungetaja na Model.
Kumbe mzalishaji wait no mmoja
Ila Oppo mbona screen yake kama iphone iv ...nimebahatika kuona Oppo A54 ina muonekano kama iphone iv
 
Oppo....
Vivo......
Yan hayo majina tu nachoka kabisaaa.Nimeshaathirika na samsung..
Sidhan kama nitaweza kwakwel kutumia hizo vitu.
Kwa mbaaaaaaali kidogo infinix nimeanza kuiona kama simu siku hiz.
 
Back
Top Bottom