Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 905
Hata kipusa maana yake hakuifahamu, na ni neno la kiswahili kama angejua asingetumia, maana ya KIPUSA ni msichana mrembo mdogodogo...huyu jamaa sijui hana wahakiki??
Sent using Jamii Forums mobile app
KIPUSA maana ya msingi ni nyara kama vile pembe ya faru au meno ya tembo, maana ya ziada ndio hiyo ya msichana mrembo