Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

ukiwajua juujuu tu wasabato, unaweza dhani ni watakatifu sana, wana visa ya kuingia mbinguni moja kwa moja.

kaa nao kama wiki au mwezi, wanasengenyana hatari, hawapendani wao kwa wao halafu wanagombania vyeo kwenye makanisa yao utadhani wanasiasa.

nguvu kubwa wamewekeza ktk kuyakabili mafundisho ya kanisa katoliki. wanapandikizana hii sumu kutoka muumini mmoja mpaka mwingine.
Kulingana na mada umejibu op
 
Dhehebu la Waadventista wa Sabato ni dhehebu ambalo linaamini katika biblia na biblia pekee kwa maana ya kuwa linafuata vile tu biblia isemavyo

Kwa hiyo sababu ya kwanini hawatumii kilevi ni kwa sababu biblia imekataza utumiaji wa kileo
 
huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato,

unaweza kutana na picha mtu anakunywa maji au soda nyingi yanaandikwa maneno "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress"

Hii sifa waliyojizolea wasabato nini chanzo chake??

View attachment 2369709
Wasabato ni waislamu zaidi kuliko wakristo
 
Usisingizie biblia haija ruhusu pombe
Inaweza isiseme inaruhusu, lakini pia isiwe imekataza. Ni kama vile ambavyo haijakataza kula panya, haina maana kula panya ni dhambi kwa kuwa haijatamka kuruhusu
 
Wadanganye wengine bana, hawa jamaa kila siku tunakunywa nao K Vant na kitimoto huku mitaani kwetu
 
Nadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
Na Ile ya kupewa mademu 70!.. Hawa jamaa Kama pepo IPO watafaidi
 
Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.

Hivyo katika msafara wa mamba, lazima kenge wawepo tu, na dini haina jinsi ya kuwa-control.
Hii haina ukweli wowote. Hata maeneo ambayo hayana waislam au waislam ni wachache sana nao husema hivyo hivyo. Yani ni ka msemo ka kudhihaki dini fulani.
 
Back
Top Bottom