Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

Bpk

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
46
Reaction score
18
IMG-20250531-WA0018.jpg
IMG-20250531-WA0019.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250531-WA0019.jpg
    IMG-20250531-WA0019.jpg
    36.9 KB · Views: 19
  • IMG-20250531-WA0018.jpg
    IMG-20250531-WA0018.jpg
    36.5 KB · Views: 21
Ramani ya pli. Why? Master bedroom imetenganishwa na vyumba viigine na hivyo kama ni master ya baba na mama hawaingiliani na yoyote kabla ya kufika sebuleni. Ya kwanza haina feature kama hii.

Pili ya pili vyumba say vya wasichana na wavulana vimentengana. Wavulana na wasichana wametenganishwa na toilet.. Ya kwanza viko sehemu moja vinafuatana....the two might interact in the corridor!


FINALLY NI



No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Me nitasema ya pili, kwasababu:

1. Umeweka garage nzuri ya kisasa
 
Back
Top Bottom