princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:
khaaa charminglady kuna jambaz liliniteka likanifungia mawiki na mawiki!!princess enny, ulikuwa umefichwa wapi wewe?
back to topic. me binafsi napenda mchumba anizidi walau 3 - 5yrs!
mmmh hapo watu8 umeongea kitu cha maana!! sasa ngoja na mim nilikubali lile libabu!!age aint nothing but a number... vinavyopendana ni mioyo na wala si maumbo haya yaliyoficha hiyo benki ya mapenzi(moyo)...
Take an example of Demi Moore na Ashton, Beckham na Vicky e.t.c....
So to me, penzi si kitenzi shurutishi bali nomino dhahania.
mmmhh!! best kumbe heshima upungua enhee??mh, me huwa namwona ka mdogo wangu vile. hata heshima huwa haipo sana. ila kama atakuwa kanizidi umri ntamuheshimu sana!
hhheee wifi!! upo!!?? nimekumic!! kumbe ndio maana kaka angu ukampenda enhee??Dah akinizidi ndo yan0ga
age aint nothing but a number... vinavyopendana ni mioyo na wala si maumbo haya yaliyoficha hiyo benki ya mapenzi(moyo)...
Take an example of Demi Moore na Ashton, Beckham na Vicky e.t.c....
So to me, penzi si kitenzi shurutishi bali nomino dhahania.
mmh hii imetulia zaid!! but ikitokea umefall kwa uliye sawa nae je?? au mfano we ni mvlana ukampenda mschana aliyekuzidi je!??people say love doesnt care about age, but the facts is that, our intest,the way of thinking etc, all of them have some influences in our relationship(love), Nkirud kwenye topic kama ni mwanaume uwe na dem/mke uliyemzid na kama ni mwanamke uwe na mme anayekuzid, why so? It is because biologically women grow fast than men so wanazeeka mapema pia, on social law man is the head of family so he must be mentally matured to handle all family issues
mmh hii imetulia zaid!! but ikitokea umefall kwa uliye sawa nae je?? au mfano we ni mvlana ukampenda mschana aliyekuzidi je!??
princess enny, ulikuwa umefichwa wapi wewe?
back to topic. me binafsi napenda mchumba anizidi walau 3 - 5yrs!
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!
Daaada shikamooo
hhheee wifi!! upo!!?? nimekumic!! kumbe ndio maana kaka angu ukampenda enhee??