Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 180
- 283
Wakuu nataka kununua mkweche na mm nimechoka kugongea magari ya watu ila budget yangu naona ni vizuri nikamiliki corolla sasa nimekuja kwenye mnipe ushauri kwamba kati corrolla X na Corrolla 111 ipi nichukue apo