Ipi nzuri kati ya Corrolla X Corrolla 111 ipi nzuri kati hizi mbili

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Wakuu nataka kununua mkweche na mm nimechoka kugongea magari ya watu ila budget yangu naona ni vizuri nikamiliki corolla sasa nimekuja kwenye mnipe ushauri kwamba kati corrolla X na Corrolla 111 ipi nichukue apo
 
Back
Top Bottom