Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

lewis mtunze

Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
42
Reaction score
26
Habari wadau...naombeni kuuliza; kwa mfanano wa bei na kwa kuzingatia wakati uliopo yaani soko la kisasa, ni simu ipi ambayo utaenjoy nayo kati ya hizo 2 yaani Samsung galaxy s8+ au Samsung galaxy a51 na sababu.

Wataalamu naomba elimu maana nasikia Android sijui 10 Mara 9 ufafanuzi kidogo.
 
Habari wadau...naombeni kuuliza; kwa mfanano wa bei na kwa kuzingatia wakati uliopo yaan soko la kisasa, ni simu ipi ambayo utaenjoy nayo kati ya izo 2 yaan Samsung galaxy s8+ au Samsung galaxy a51 na sababu. Wataalamu naomba elimu....maana .naskia android sjui 10 Mara 9 ufafanuzi kidogo
Chukua A51 hyo. S8+ ishapitwa na wakati saahz.

Mabaya ya S8+
1. Haipati software updates tena (ipo kwenye android 9 na haipandi tena
2. Haikai na charge kma A51
3. Utapata simu refurbished ambazo sometimes zinakua na matatzo kma ya network, battery, display or software
4. Kwasababu ni refurbished, low quality refurbished zinakuaga na display burn in ambapo unaona kma kuna maandishi kwenye display ambayo hayayoki
5. Camera yake sio nzuri kuliko A51 (inachukja video nzuri zaidi ila still pictures ipo nyuma kidogo)
6. Zinapasuka vioo kirahisi sana hzo kutoka na kua curved.

Mazuri ya A51
1. Ni mpya zaidi.
2. Inakaa na charge sana ukilinganisha na S8+
3. Itapata software updates huko mbeleni. Sshv ipo kwenye android 10 na itakua updated mpk android 12
4. Ina kioo kikubwa na modern design
5. Ina camera ya ultrawide (inakua na view kubwa kuliko camera ya kawaida) na ina macro lens (inapiga picha zoomed za vitu vdg). Hizi zote hazipo kwenye S8+
6. Utapata simu mpya na sio refurbished (haina magumashi)

A51 ni bora zaidi ya S8+. S8+ itakua na uwezo mzuri kdg kuliko A51 lakini A51 nayo sio kwamba iko slow wala nini. Display ya S8+ ina high resolution lakini zinapata hyo burn in baada ya mda kdg ambayo inakera kweli. Mfano wa burn in huo apo chini
images.jpeg-1.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Chukua A51 hyo. S8+ ishapitwa na wakati saahz.

Mabaya ya S8+
1. Haipati software updates tena (ipo kwenye android 9 na haipandi tena
2. Haikai na charge kma A51....
mkuu nitafahamu vipi simu ninayotumia kama siku za mbele nitapata Updates?
 
Inategemea na company gani na simu yako ilianza na android ngap.

Kwa samsung a series na m zote zinapata 2 years of OS updates. Ina maana kma simu yako ilikuja na android 9 itapata 10 na 11.

Kwa samsung za S series, Fold, flip, na Note series zinapata 3 years kunanzia s10/note 10. Kwa mfano s10 ilikuja na android 9, ikaenda 10 na inatakiwa kupata 11 na 12 huko mbeleni (miaka mi3)

Kwa simu za google zote nazo ni miaka mi3

Nokia, Motorola, Xiaomi, Oppo ni miaka mi2

Brand nyingi zinafanya miaka mi3 kwa flagship zao na miaka mi2 kwa simu za bei ya kawaida mpk chini

Akina Tecno, Infinix na itel wao kwakweli sahau kuhusu kupanda android version. Watakupa security updates basi. Simu chache sana za tecno zinapandishwa android version sikuhz na mara nyingi inakua ni moja tu.

Kwa huku bongo ukitaka simu ya bei rahisi itakayopanda android version huko mbeleni ni Nokia, Xiaomi na Samsung A series

Vipi kwa Samsung J7 mkuu,
 
1. A51 ina camera nzuri zaidi picha quality nzuri kuliko S8+.

2. A51 ina uwezo mkubwa wa CPU na GPU kwa wapenda games.

3. A51 kioo kikubwa kiasi

4. Speaker za A51 zina sauti inapanda zaidi kuliko S8+

5. Mengine mengi nimeona yapo sawa tu zaidi zaidi

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mengi ulioandika si kweli.

S8 ni flagship ya karibuni still ina performance kubwa kushinda midrange soc kama Exynos 9611 ya A51.

Na Adreno 540 ya s8+ ina nguvu Mara 3 hadi Mara 4 ya Mali G72 kwenye 9611
Screenshot_20201220-114948.png

Pia ukaaji chaji s8+ na A51 ni kama Sawa tu, s8+ ikiwa na advantage kidogo.

Kifupi s8+ ni bora karibia kila idara, Tatizo ni Kwamba tu kibongo bongo hutaipata nzuri, watakushikisha refurb.
 
Habari wadau...naombeni kuuliza; kwa mfanano wa bei na kwa kuzingatia wakati uliopo yaani soko la kisasa, ni simu ipi ambayo utaenjoy nayo kati ya hizo 2 yaani Samsung galaxy s8+ au Samsung galaxy a51 na sababu.

Wataalamu naomba elimu....maana nasikia Android sijui 10 Mara 9 ufafanuzi kidogo
Inategemea mkuu na matumizi na uelewa wako wa simu.

Kama una matumizi ya kawaida na unatafuta simu ya kukaa nayo bila matatizo go for A51 au subiria A52 ambayo itakuwa nzuri zaidi inatoka anytime.

Kama unataka simu yenye nguvu kwa bei reasonable na una uelewa mkubwa wa simu, unacheza heavy games ama apps nzito nzito s8+ ni simu nzuri.
 
Mengi ulioandika si kweli.

S8 ni flagship ya karibuni still ina performance kubwa kushinda midrange soc kama Exynos 9611 ya A51.

Na Adreno 540 ya s8+ ina nguvu Mara 3 hadi Mara 4 ya Mali G72 kwenye 9611
View attachment 1655038

Pia ukaaji chaji s8+ na A51 ni kama Sawa tu, s8+ ikiwa na advantage kidogo.

Kifupi s8+ ni bora karibia kila idara, Tatizo ni Kwamba tu kibongo bongo hutaipata nzuri, watakushikisha refurb.
Yawezekana yanaonekana ya uongo kupitia benchmarking tools unazotumia ila mimi nimetumia experience. Nimeshatumia device zote mbili (S8+ na A51).

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mengi ulioandika si kweli.

S8 ni flagship ya karibuni still ina performance kubwa kushinda midrange soc kama Exynos 9611 ya A51...
Kwenye ukaaji wa charge s8+ hamna kitu kwa A51. Nimeshatumia zote, A51 inakupa 7 hrs to 9 hrs screen on time wakati s8+ ikijitahidi inakupa 5 hrs screen on time since full charge. Na s8+ inakua ya moto kichizi ukiwa unaitumia. Siwezi shauri mtu yoyote kuchukua s8+ juu ya A51

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ukaaji wa charge s8+ hamna kitu kwa A51. Nimeshatumia zote, A51 inakupa 7 hrs to 9 hrs screen on time wakati s8+ ikijitahidi inakupa 5 hrs screen on time since full charge. Na s8+ inakua ya moto kichizi ukiwa unaitumia. Siwezi shauri mtu yoyote kuchukua s8+ juu ya A51

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Snapdragon 835 ni most efficient soc ya flagship, natumia xz1 compact ina 2700mah tu na napata hadi 10hrs on screen time. Angalia hata Gsmarena benchmark ya battery s8+ ipo juu.

Suala LA overheat simu yako ilikuwa mpya ama refurb?

Let's say mtu a nataka kucheza games utamshauri A51 over s8+?
 
Yawezekana yanaonekana ya uongo kupitia benchmarking tools unazotumia ila mimi nimetumia experience. Nimeshatumia device zote mbili (S8+ na A51).

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kama unazo zote mbili Sasa hivi Hebu jaribu game LA ps2 ama Nintendo wii kwenye simu zote mbili Kisha post matokeo hapa.
 
Kwenye ukaaji wa charge s8+ hamna kitu kwa A51. Nimeshatumia zote, A51 inakupa 7 hrs to 9 hrs screen on time wakati s8+ ikijitahidi inakupa 5 hrs screen on time since full charge. Na s8+ inakua ya moto kichizi ukiwa unaitumia. Siwezi shauri mtu yoyote kuchukua s8+ juu ya A51

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sawa bin sahawia mkuu....kwaiyo kwa bei iyo iyo ya 650k simu gani unaweza pata ambayo hevvy weight apps kidogo chip set snapdragon na super amoled kioo
 
Tupeni darasa kidogo ili update simu ya kuweka vitu ambavyo heavy weight ni kipi cha kuzingatia au vutu gani unaangalia
 
Back
Top Bottom