Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,412
Kwa wote ambao nitakuwa nimewakwaza na hii mada naomba wanisamehe,
Katika kuelimishana tunahitaji kujikaza ili tupate elimu. Kuna baadhi ya watu wanapokwenda haja kubwa wanatumia toilet paper na wengine maji tu
Sasa nilikuwa napenda kuuliza kwa faida ya wote, kati ya njia hizi, ipi inakuweka katika hali ya usafi zaidi? Au njia ipi kati ya hizi ni bora?