Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.

Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.

Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.

Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.

Nikamjibu nikamwambia ngoja tuone kesho nitapata kiasi gani ili sikuhaidi kwamba nitakupatia hiyo 100k yote, nitakayofanikisha nitakuambia akasema "sawa nitashukuru" nikasema kimoyomoyo "kesho utafurahia show"

Sio kwamba sikua na hiyo hela, pesa nilikua nayo ila nilitaka tu kumpa ahadi hewa ingawa anajua kabisa iko ndani ya uwezo wangu.

Kesho yake ananitext nikajua tu huyu anasalimia sababu nilimuahidi pesa, nilikuja kuijibu text yake baada ya masaa mawili kisha nikakaa kimya.

Jioni alipiga nikawa naiangalia timu simu yake , nilikua kumtumia text baada ya masaa mawili tena na kumuuliza anasemaje.....Yani nilikua namgonga swali as if sikumuahidi chochote halafu nilikua sitaki tu kuskia sauti yake ndomana nilikua sipokei simu yake.

Ili kuwahakikishia kwamba ninao uwezo wa kumtumia 100k ila tu sitaki naambatanisha na my bank balance ya muda huu.

Hakuna muda wa kumuonea huruma mtu asiyekuthamini na kukumbuka wema wako.

View attachment 2953873

Una matatizo, ungeweza mwambia tu hapana, uadui na visasi vya nini? Huyo utampa hiyo hela na huna ubavu wowote
 
Sasa mkuu tofauti yako na sisi wanunuzi ni ipi??!! Piga chini huyo nyonya damu au muingie makubaliano mapya kwamba utalipia tu huduma yake ya ngono so a set price yake, ikiwa ndani ya uwezo wako mnaendelea kwa terms and conditions mpya. Hii itakuweka huru zaidi na hata kukupunguzia gharama zisizo na ulazima kama zile za gesi imeisha, ninunulie luku, baba mgonjwa nk. Wake up mzee. Wauzaji ni wengi
 
utakuta mtu join since 2009 afu kwenye uzi kaandika

(guys nipo na binti mmoja iv sasa naona kam n kausha damu)

umeanza kumiliki cm toka watu tupo la 4 afu adi leo hujaoa

chai ya mpera

acha ukaushwe tu

(JOKES)
 
Sasa unajitangaza your small miner in this game watu bro wanahela mbaya sana huwezi sema ml 20 ni za kuscreen short hivyooo . Watu wanamkwanja watu mita zao za pesa zina soma $dollars aise. Hongera zao
 
Makahaba wa siku hizi hawajitangazi wala kusimama barabarani, wanatumia tu sura ya mahusiano kama kichaka cha kufanyia ukahaba wao.

Usimpe hela mle akatafute wajinga wenzake mbele ya safari.
 
Watu kama wewe wanawake huwa wanawaita ''mabuzi''. Yaani ni wanaume ambao wanakuwa na uhusiano nao kwa sababu kupata fedha tu. BTW kuna wanaume wakijua wanafanyiwa hivi wanaamua kugonga tigo kabisa ili wawakomoe.
Dah basi ndio maana wadada wengi miaka hii usalama mdogo.
 
Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.

Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.

Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.

Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.

Nikamjibu nikamwambia ngoja tuone kesho nitapata kiasi gani ili sikuhaidi kwamba nitakupatia hiyo 100k yote, nitakayofanikisha nitakuambia akasema "sawa nitashukuru" nikasema kimoyomoyo "kesho utafurahia show"

Sio kwamba sikua na hiyo hela, pesa nilikua nayo ila nilitaka tu kumpa ahadi hewa ingawa anajua kabisa iko ndani ya uwezo wangu.

Kesho yake ananitext nikajua tu huyu anasalimia sababu nilimuahidi pesa, nilikuja kuijibu text yake baada ya masaa mawili kisha nikakaa kimya.

Jioni alipiga nikawa naiangalia timu simu yake , nilikua kumtumia text baada ya masaa mawili tena na kumuuliza anasemaje.....Yani nilikua namgonga swali as if sikumuahidi chochote halafu nilikua sitaki tu kuskia sauti yake ndomana nilikua sipokei simu yake.

Ili kuwahakikishia kwamba ninao uwezo wa kumtumia 100k ila tu sitaki naambatanisha na my bank balance ya muda huu.

Hakuna muda wa kumuonea huruma mtu asiyekuthamini na kukumbuka wema wako.

View attachment 2953873
Mkuu huyo wako yupo kama wangu tabia zao zina fanana, Yeye akiwa na shida ndiyo ana nitafuta na kupokea simu na kujibu sms Zangu, Sasa nikimtumia pesa tu kesho yake ukituma sms halibu na ukimpigia hapokei simu, Sasa kuna siku nilimwambia nitamtumia pesa kesho
Dawa ni kuoana.
Mwanamke hataki ndoa ila anataka kuhudumiwa mfano wa mke.
 
We ni matako kweli, soma vizuri huo uzi halafu uone kama kuna sehemu nimesema nahitaji tena K yake.......Huna akili kabisam

We ni matako kweli, soma vizuri huo uzi halafu uone kama kuna sehemu nimesema nahitaji tena K yake.......Huna akili kabisa
Mkuu huyo amekurupuka wewe hujamuomba penzi wala hujaanza kumtafuta kwakifupi ukuwa na shida nae, Huyo demu ndiyo anatakiwa ate penzi ili apate lakini na siyo wewe utoe pesa kwanza.
 
Back
Top Bottom